mangikule
JF-Expert Member
- Jun 11, 2012
- 6,369
- 5,866
Kwa hiyo hapa unatumia nini?Busara ina mahala pake kutumika..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo hapa unatumia nini?Busara ina mahala pake kutumika..
Mungu hutumia njia nyingi kufikisha ujumbe hata ndege wa porini hutumika kumwepusha mwanadamu asiliwe na simba, chui au nyoka. Hivyo Mzee Warioba yuko sahihi 100% mambo ya siri ndiyo yametufikisha kwenye ujinga na upumbavu huu tunaoishi nao.Mzee wetu, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Jaji Joseph Sinde Warioba, Nampenda na kumkumbali sana sana,
Maelezo, maoni, tahadhari nk nk alizozitoa mzee wangu je Jukwaa alilotumia ni sahihi kiasi gani...
Mkuu, una nini na huyu Mzee wetu?Punguani ndio anasikiliza gabbage za aina hii..na juha anakimbia kuja kupost hapa!
Mzalendo halisi. Hawa ndio inabidi tuwape nchi. Wanauchungu na nchi sio wapigaji wa sasa.Jaji Warioba akiongea na waandishi wa habari leo Desemba 4 amesema haya
Ukiona mjadala wote uliofanywa tangu 2019 mpaka sasa, na imani iliyokuwapo kwamba uchaguzi wa mwaka huu (2024) hautofanana na ule wa mwaka 2019, lakini matokeo yake ni vilevile. Uchaguzi wa mwaka kesho (2025), kama hatutachukua hatua, utakuwa kama huu uliopita (Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Novemba 27, 2024).
Tume itakayosimamia uchaguzi wa mwaka kesho, ni ileile iliyosimamia uchaguzi wa mwaka 2020, maana sioni dalili pamoja na sheria kupitishwa kwamba kuwe na tume tofauti, sioni dalili kama tume hiyo itaanzishwa kabla ya uchaguzi, kwahiyo ni tume hiihii ndiyo itakayoendesha uchaguzi wa mwaka kesho.
Watakaosimamia ni walewale ambao wapo chini ya TAMISEMI, uongozi wa kisiasa ni uleule ndani ya TAMISEMI, hawakusikiliza yote yaliyosemwa katika kipindi chote wakarudia ya zamani, hata mwaka kesho watafanya vilevile, tutakuta watu wanaenguliwa wengi tu, tutakuta kura za bandia na mengineyo.
Unayepinga mawazo ya jaji Warioba una mavi kichwani badala ya ubongoPunguani ndio anasikiliza gabbage za aina hii..na juha anakimbia kuja kupost hapa!
Unayepinga mawazo ya jaji Warioba una mavi kichwani badala ya uboPunguani ndio anasikiliza gabbage za aina hii..na juha anakimbia kuja kupost hapa!
Mzee yuko sahihi. Tukumbuke, hata Mwl. Nyerere aliwahi kufanya hivyo kipindi fulani. Japo kwa nyadhifa zao kinchi ni tofauti, lakini siyo vibaya kama Mzee mstaafu kutoa maoni yako.Mzee wetu, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Jaji Joseph Sinde Warioba, Nampenda na kumkumbali sana sana,
Maelezo, maoni, tahadhari nk nk alizozitoa mzee wangu je Jukwaa alilotumia ni sahihi kiasi gani...
Ww ni chawaBusara ina mahala pake kutumika..
eti Nini?:juha anakimbia kuposti kama ulivyokimbia wewe?Punguani ndio anasikiliza gabbage za aina hii..na juha anakimbia kuja kupost hapa!
Una lalamikia kitu usicho kijuwa.Mzee wetu, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Jaji Joseph Sinde Warioba, Nampenda na kumkumbali sana sana,
Maelezo, maoni, tahadhari nk nk alizozitoa mzee wangu je Jukwaa alilotumia ni sahihi kiasi gani?
Je Mzee wangu kwani si member wa Baraza la usalama wa taifa?
Je kama ni member wa Baraza la usalama wa taifa wao kama wazee wastaafu waliolitumikia hili taifa kwa jasho damu na kwa nguvu zao zote na baadaye kutengeneza viongozi hata hawa wa sasa Wameshindwa je kukaa wao kwanza wastaafu wa hilo Baraza, kisha yale ambayo wanaona watawala hawako sawa wakutane ana kwa ana na Rais, Waziri mkuu, Mkurugenzi mkuu wa usalama wa taifa, CDF na IGP waambie ukweli na hali halisi anavyoona wao,
Je hii ya kutoka hadharani tena mstaafu mmoja tu rais na watu wake watafanyia kazi maneno ya mzee wetu?
Ukweli ndiyo huo.Una lalamikia kitu usicho kijuwa.
Hilo "...baraza la usalama wa taifa", wewe ulilisikia wapi na kujuwa kuwa wazee wastaafu wamo kwenye baraza la usalama wa taifa?
Wewe huoni mzee wa watu anahangaika hovyo; kwa sababu hata mahali pa kusemea asikilizwe hana?
Huyu hadi kalambishwa makofi na Bashite; halafu unadhani Samia anao muda na mzee kama huyu kumsikiliza?
Wewe sema tu kwamba ni bahati yake tu, kuwa hata hizo hadhara za kuitisha waandishi wa habari na kuzungumza bado anavumiliwa tu; wakiona anasababisha watu kuelewa anayo yazungumzia watamzima mara moja.
Sasa hivi wame mwacha tu, kwa kumpuuza.
Hatua zichukuliwa haraka kuweka utaratibu wa kuheshimu maamuzi ya wananchi kwenye sanduku la kura.Jaji Warioba akiongea na waandishi wa habari leo Desemba 4 amesema haya
Ukiona mjadala wote uliofanywa tangu 2019 mpaka sasa, na imani iliyokuwapo kwamba uchaguzi wa mwaka huu (2024) hautofanana na ule wa mwaka 2019, lakini matokeo yake ni vilevile. Uchaguzi wa mwaka kesho (2025), kama hatutachukua hatua, utakuwa kama huu uliopita (Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Novemba 27, 2024).
Tume itakayosimamia uchaguzi wa mwaka kesho, ni ileile iliyosimamia uchaguzi wa mwaka 2020, maana sioni dalili pamoja na sheria kupitishwa kwamba kuwe na tume tofauti, sioni dalili kama tume hiyo itaanzishwa kabla ya uchaguzi, kwahiyo ni tume hiihii ndiyo itakayoendesha uchaguzi wa mwaka kesho.
Watakaosimamia ni walewale ambao wapo chini ya TAMISEMI, uongozi wa kisiasa ni uleule ndani ya TAMISEMI, hawakusikiliza yote yaliyosemwa katika kipindi chote wakarudia ya zamani, hata mwaka kesho watafanya vilevile, tutakuta watu wanaenguliwa wengi tu, tutakuta kura za bandia na mengineyo.
acha ujinga habari ipo mpaka media kubwa duniani we ndio gabbagePunguani ndio anasikiliza gabbage za aina hii..na juha anakimbia kuja kupost hapa!
Tangu lini akili ya bendera ina uwezo wa kupima kiwango cha ujinga ilio nao..acha ujinga habari ipo mpaka media kubwa duniani we ndio gabbage
..wapi nimepinga mawazo ndio shida ya mtu anayechamba wakati bado hajamaliza haja.Unayepinga mawazo ya jaji Warioba una mavi kichwani badala ya ubo
wapinzani washiriki kikamilifu wasisuse, kila alipo mgombea wa ccm na wa upinzani awepo ili tuone uchafuzi huo, wapinzani pia wajiandae kisaikolojia kukosa na kupataUchaguzi mkuu utakuwa mara 10000 ya balaaa ya serikali ya mtaa....
Tutegemeee maumivu zaidi
Ova