Hoja gani hapo? Ni hasira tu za kijinga badala ya kulea vijukuu vyake analeta hasira za kijinga!Hoja zenye mantiki ndiyo muhimu, hasira za familia kukosa nafasi zitathibitishwa baada ya kupima hoja zake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja gani hapo? Ni hasira tu za kijinga badala ya kulea vijukuu vyake analeta hasira za kijinga!Hoja zenye mantiki ndiyo muhimu, hasira za familia kukosa nafasi zitathibitishwa baada ya kupima hoja zake.
..you don't have sense, how can you see sense..You don't make sense at all. Better stay away.
Kumbe huko kwenu mashehe ndio wanaowatibu!???Tafuta shehe akutibu..
Ndani ya siku 67 yatakuja mengiJaji Warioba akiongea na waandishi wa habari leo Desemba 4 amesema haya
Ukiona mjadala wote uliofanywa tangu 2019 mpaka sasa, na imani iliyokuwapo kwamba uchaguzi wa mwaka huu (2024) hautofanana na ule wa mwaka 2019, lakini matokeo yake ni vilevile. Uchaguzi wa mwaka kesho (2025), kama hatutachukua hatua, utakuwa kama huu uliopita (Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Novemba 27, 2024).
Tume itakayosimamia uchaguzi wa mwaka kesho, ni ileile iliyosimamia uchaguzi wa mwaka 2020, maana sioni dalili pamoja na sheria kupitishwa kwamba kuwe na tume tofauti, sioni dalili kama tume hiyo itaanzishwa kabla ya uchaguzi, kwahiyo ni tume hiihii ndiyo itakayoendesha uchaguzi wa mwaka kesho.
Watakaosimamia ni walewale ambao wapo chini ya TAMISEMI, uongozi wa kisiasa ni uleule ndani ya TAMISEMI, hawakusikiliza yote yaliyosemwa katika kipindi chote wakarudia ya zamani, hata mwaka kesho watafanya vilevile, tutakuta watu wanaenguliwa wengi tu, tutakuta kura za bandia na mengineyo.
Una uhakika hajawahi kuyasema hayo yote mbele ya chama chake!!??..ni mstaafu kwenye chama kinachoharibu uchaguzi na mjumbe kwenye vikao muhim ya chama chake, ni mstaafu wa serikali inayotumia vibaya vyombo ya dola na anashiriki vikao kuongelea mambo ya nchi..ajabu HAJAWAHI kuita aliowaita leo ili atoe angalizo na msimamo wake tabla mambo hayajaharibika, kwa hiyo anasubiri uchaguzi uvurugwe, watu wafe..ndio aongee aliyosema leo, je watu waliouawa watarudi? Uchaguzi ulioharibiwa utarudiwa? Km sio unafiki ni nini hiki anachofanya???
ulimsikia kasema amewaambia chama chake? halafu kwa nini hasemi kabla uharibifu haujatokea? ile kauli ya Mwl. ccm si mama yangu aliisema baada ya ccm kuvuruga uchaguzi..? ni kweli bado hamuwezi kuelewa lengo lake na wenzake?Una uhakika hajawahi kuyasema hayo yote mbele ya chama chake!!??
Jaji watioba ana hasira GaniHoja gani hapo? Ni hasira tu za kijinga badala ya kulea vijukuu vyake analeta hasira za kijinga!