Pre GE2025 Jaji Warioba: Tusipochukua hatua, uchaguzi mkuu utakuwa kama huu wa Serikali za Mitaa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hoja zenye mantiki ndiyo muhimu, hasira za familia kukosa nafasi zitathibitishwa baada ya kupima hoja zake.
Hoja gani hapo? Ni hasira tu za kijinga badala ya kulea vijukuu vyake analeta hasira za kijinga!
 
Ndani ya siku 67 yatakuja mengi
 
Bahati mbaya sana, kile chama cha majizi na wauaji hawapendi kusikia dondoo za namna hii, ukweli mchungu.
 
Una uhakika hajawahi kuyasema hayo yote mbele ya chama chake!!??
 
Una uhakika hajawahi kuyasema hayo yote mbele ya chama chake!!??
ulimsikia kasema amewaambia chama chake? halafu kwa nini hasemi kabla uharibifu haujatokea? ile kauli ya Mwl. ccm si mama yangu aliisema baada ya ccm kuvuruga uchaguzi..? ni kweli bado hamuwezi kuelewa lengo lake na wenzake?
 
Ambao hawakumwelewa na kuchukizwa naye ni Majizi,Majangiri na Majambazi ya kubaka chaguzi za nchi hii.
 
Hoja gani hapo? Ni hasira tu za kijinga badala ya kulea vijukuu vyake analeta hasira za kijinga!
Jaji watioba ana hasira Gani
Au na yeye aligombea serikali za mitaa?
Unawaza kwa kutumia nini ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…