PostGE2025 Jaji Warioba: Waliouawa Oktoba 29, 2025 ni wengi kuliko waliouawa kwenye Vita ya Kagera

PostGE2025 Jaji Warioba: Waliouawa Oktoba 29, 2025 ni wengi kuliko waliouawa kwenye Vita ya Kagera

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Kwenye mahojiano na Jamhuri TV, Jaji Mstaafu Joseph Warioba amesema kwenye Vita ya Kagera, vijana wengi waliuawa na adui. Aidha, ukilinganisha na takwimu zinazozungumziwa sasa, idadi ya waliokufa ni kubwa zaidi kuliko ile ya vita. Tofauti ni kwamba, wakati ule tuliuawa na adui, lakini sasa tunajiua sisi wenyewe.


Ameongeza kwa kuhoji miongoni mwa polisi, hakuna hata mmoja ambaye ndugu yake ameuawa? Vivyo hivyo kwa vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na viongozi—hakuna hata mmoja ambaye ndugu yake ameuawa?.

Kuhusu Jeshi, Jaji Warioba amesema kuwa bado msimamo wake ni kutolihusisha jeshi na siasa. Ameeleza kuwa msimamo huo aliueleza alipotoa kauli yake mwezi Desemba 2024, baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa.

 
Mzee amenyooka. Naimani pia mama Samia alikula vidonge vyake huko ikulu na bado dozi imemmlevya maana ukiangalia Ile distance ya upigaji picha haikuwa kawaida
1766465829302.jpeg
 
Back
Top Bottom