PostGE2025 Jaji Warioba: Waliouawa Oktoba 29, 2025 ni wengi kuliko waliouawa kwenye Vita ya Kagera

PostGE2025 Jaji Warioba: Waliouawa Oktoba 29, 2025 ni wengi kuliko waliouawa kwenye Vita ya Kagera

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Yule jamaa ni mwehu, ataichoma hii nchi very soon.
Mwigulu hana hekima, busara, uadilifu, empathy, compassion. Hajui uwajibikaji na haki ni nini.

Nchemba anafikiri uongozi ni kutetea kila uhuni, kuficha kila uovu na kutetea yasiyowezekana kutetewa hata na shetani mwenyewe. Yeye ndio kwanza anawatukana, anawakebehi, kuwadhihaki. kuwakejeri Watanzania walioko msibani.
 
Mwenyekiti wa CCM alialika vizee vya dar ili kuvichamba kuviambia eti havijui kulea watoto

Na kwamba watoto wao wakichapwa risasi visiongee lolote maana vifo ni halali kwa watoto wao na bado viliitikia ndiyooo!!!

Wazee kama huyu umwalike na kisha umchambe kama wale halafu akuitikieee ndiyooo?

Thubutu yako
 
Huyu mzee ana mahali pake kwenye sehemu takatifu ya wazalendo wa Tanganyika na Tanzania.
Amekuwa mkweli siku zote, ameongea bila kuhofia maisha yake.
Mzee Buti-kuu ameogopa amejiunga na Bashir* wote wamejiunga na wenye mikono michafu wakishiriki meza moja ya karamu ya wachafu.
Wachafu namaanisha wauwaji, wabadhirifu wa mali za umma na watekaji.
 
Back
Top Bottom