M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
Bi Minyonyo kachanganyikiwa, kuna ujumbe kautuma Vatican kwenda kumsemelea Fr Kitima, anadhani Vatican haina watu on the ground wanaojua kila kinachoendelea. She is so stupid.Samia anajaribu kukupa asali kwanza utetea genge lake. Amemwita Warioba akakataa kulamba asali. Akamtuma Mwigulu amwite Fr Kitima kumlambisha asali, Fr Kitima akakataa.
Baada ya hapo wakaanza kampeni chafu, kumchafua Fr Kitima na TEC. Wamepanga kumteka, kumtesa na kumuua. Ameshindwa kwenda kwenye msiba wa Mhagama kwa kuhofia maisha yake.
Mzee Warioba, aongeze ulinzi, kampeni chafu zitaanzishwa na mashehe wa kihuni na machawa wa genge la Samia, kabla ya kujaribu kumteka na kumuua.
Kwa sasa she is so desperate yaani anaweza kumuua yoyote mambo ya consequences akayawaza baada ya kuua, mwaka huu kama hajapata heart failure sijui🤔🤔