Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Ni kweli
Labda kama huna masikio, juzi alikuwa SUA kwenye MahafaliMzee anaendelaje? Tangu aanguke jukwaani juzi kati sijamskia tena
Siyo elfu 10?Taarifa za kwenye mtandao zinasema walikufa raia 1500, na askari 373, hivyo jumla ya vifo ni 1873.
Siyo elfu 10?
Noma sanaMkipata hesabu ya wanaotekwa na kukamatwa kwa kubambikwa kesi kwa mwaka mmoja utajua mia tano ni idadi ndogo sana na ni kubwa kama una utu
Hao askari nani aliwaua?..Taarifa za kwenye mtandao zinasema walikufa raia 1500, na askari 373, hivyo jumla ya vifo ni 1873.
Hao askari nani aliwaua?..
HakikaMzee Warioba kajitanabaisha na kajitenga na majambazi.