Jakaya Kikwete achaguliwa kuishinikiza Taliban kurudisha watoto wa kike shule

Ndio maana mataifa makubwa kama US huwa wanaidharau hii United Nations na mpaka kutishia kuacha kuchangia...

Sasa Kikwete masikini ya Mungu eti anatumwa aka negotiate na Taliban kurejesha watoto wa kike shule akiwa kama mwenyekiti wa Global Partnership for Education.

Mtu atakaepata mkanda wa mazungumzo ya Kikwete na Taliban atauza filamu ya comedy kali kuliko zote Afrika kama wasipom-behead mkutanoni.

Lakini lengo pana zaidi la GPE ni kupeleka fursa ya elimu bora kwa kila mtoto mnyonge duniani.

Huku nyumbani the Kikwetes of the third world wamefanya nini japo kujaribu kumpa mtoto mnyonge elimu wanayopata watoto wao binafsi? (Kumbuka hotuba ya JK kwenye mazishi ya JPM alivyoeleza bila aibu jinsi watoto wake wanavyosoma shule za academy).

Wanachaguliwa na UN kwa vigezo gani watu hawa hawa waliofeli katika mambo hayo hayo ya kuwapa nafuu wanyonge?

Acha kuwa mtumwa wa fikra. Pia kuwa mzalendo. Kwani Kikwete anaenda kupigana mieleka na Taliban au wanafanya mazungumzo? Pia Afganistan ni miongoni mwa nchi maskini duniani. Bado ipo third World country. Kwa maisha wanayoishi bora Tanzania mara 1000.

Mimi nina imani Mhe. Jakaya Kikwete analimaliza hilo jambo tena kiulaini kabisa.
 
Ndio maana mataifa makubwa kama US huwa wanaidharau hii United Nations na mpaka kutishia kuacha kuchangia...

Sasa Kikwete masikini ya Mungu eti anatumwa aka negotiate na Taliban kurejesha watoto wa kike shule akiwa kama mwenyekiti wa Global Partnership for Education.

Mtu atakaepata mkanda wa mazungumzo ya Kikwete na Taliban atauza filamu ya comedy kali kuliko zote Afrika kama wasipom-behead mkutanoni.

Lakini lengo pana zaidi la GPE ni kupeleka fursa ya elimu bora kwa kila mtoto mnyonge duniani.

Huku nyumbani the Kikwetes of the third world wamefanya nini japo kujaribu kumpa mtoto mnyonge elimu wanayopata watoto wao binafsi? (Kumbuka hotuba ya JK kwenye mazishi ya JPM alivyoeleza bila aibu jinsi watoto wake wanavyosoma shule za academy).

Wanachaguliwa na UN kwa vigezo gani watu hawa hawa waliofeli katika mambo hayo hayo ya kuwapa nafuu wanyonge?
Sema tukiacha masihara Kikwete upstairs Yuko vizuri Sana.. hasa kwenye swala zima la diplomasia na ni mtaalam Sana kwenye kipengele cha kufanya political manipulation.. hapa ukikumbuka vizuri alitumia hotuba zake za mwisho wa mwezi kuwapooza wa255 kusahau EPA,ESCROW N.k

Sasa kubwa kuliko ni jinsi alimjubu Kagame Kwa kukaa kimya baada ya kuwafurusha M23 huko Congo DRC[emoji38][emoji38][emoji38]..

Kama alivyo Magufuli hakuna MTU asie na Mapungufu yani.. J.K ni genius wa Siasa
 
Hivi watoto kusoma shule za Academy ni jambo la kuona aibu, huu upuuzi wa kujifaharisha na unyonge tumeutoa wapi?
kabisa kabisa, ni aibu

ni aibu kwa Rais wa nchi iliyotamalaki shule za kimaskini, za hovyo za kata, kutueleza yeye anasomesha watoto wake shule za academy

juzi nimeona watoto wa form two ya kata ya kijijini hawajui hata kuongea Kiswahili! Halafu Rais Kikwete anasimama mbele ya taifa kwenye msiba wa Magufuli anasema "siku hizi watoto wanasoma shule za Kiingereza wanatuongelesha Kiingereza...." Watoto wa nani wanakuongelesha Kiingereza we Mzee? Mwalimu wao nani, Profesa Ndalichako ?

How can a president be so unpatriotic, selfish, tone deaf and out of touch ???????
 
Ndio maana mataifa makubwa kama US huwa wanaidharau hii United Nations na mpaka kutishia kuacha kuchangia...

Sasa Kikwete masikini ya Mungu eti anatumwa aka negotiate na Taliban kurejesha watoto wa kike shule akiwa kama mwenyekiti wa Global Partnership for Education.

Mtu atakaepata mkanda wa mazungumzo ya Kikwete na Taliban atauza filamu ya comedy kali kuliko zote Afrika kama wasipom-behead mkutanoni.

Lakini lengo pana zaidi la GPE ni kupeleka fursa ya elimu bora kwa kila mtoto mnyonge duniani.

Huku nyumbani the Kikwetes of the third world wamefanya nini japo kujaribu kumpa mtoto mnyonge elimu wanayopata watoto wao binafsi? (Kumbuka hotuba ya JK kwenye mazishi ya JPM alivyoeleza bila aibu jinsi watoto wake wanavyosoma shule za academy).

Wanachaguliwa na UN kwa vigezo gani watu hawa hawa waliofeli katika mambo hayo hayo ya kuwapa nafuu wanyonge?
Wewe ni mbumbumbu
 
Kwa laymani kama mimi, ukiniuliza kuhusu post hii, naona kama ni ya hatari kwake, lile jina tu ndiyo linalonipa shida.
Pamoja na kwamba chizi anaweza akaja akaripoti uwepo wa vita kwa walio na akili timamu na wao wakam-ignore, and all of sudden wenye akili timamu wakaja kugundua kuwa kumbe chizi naye huwa anakuwa sahihi wakati mwingine, na wakati wanagundua hilo inakuwa tayari ni too late, kuna haja ya kuwa tunaziangalia kwa jicho la pili baadhi ya post wanazopewa wastaafu wetu, especiially wastaafu wa kada hii, ukizingatai kuwa tunao wastaafu wawili tu kwa sasa wakati tulitakiwa kuwa nao wanne au zaidi
 
Kapige kazi baba tumefurahishwa na uteuzi wake. Huyu ndio kinara w elimu bure Tanzania n shule z kata
 
anhaaa, nimeonakana mimi ni kijana mdogo sana?

basi sawa, fahamu kwamba katikati yenu kuna kijana mdogo mmoja anasema mfalme hajavaa nguo!

kiongozi ambae ameshindwa kuleta fursa sawa za elimu bora kwa kila mtoto wa nchi yake, tena bila aibu huwa anasomesha watoto wake yeye kwenye shule maalum, na anadiriki kusimama mbele ya hadhara kujitangaza (kwenye hotuba yake mazishi ya Magufuli) huyo mtu hafai kuongoza taasisi ya UN ya kusambaza elimu bora kwa kila mtoto.
Mkuu umelewa?
 
kabisa kabisa, ni aibu

ni aibu kwa Rais wa nchi iliyotamalaki shule za kimaskini, za hovyo za kata, kutueleza yeye anasomesha watoto wake shule za academy

juzi nimeona watoto wako form two ya kata ya kijijini hawajui hata kuongea Kiswahili! Halafu Rais Kikwete anasimama mbele ya taifa kwenye msiba wa Magufuli anasema "siku hizi watoto wanasoma shule za Kiingereza wanatuongelesha Kiingereza...." Watoto wa nani wanakuongelesha Kiingereza? Mwalimu wao nani, Profesa Ndalichako ?

Mnaishi wapi nyinyi watu ? How can a president be so tone deaf and out of touch ???????
Safi mkuu, cha kufanya pambana watoto wako wasome Academy pia maana malalamiko yako yana msingi mkubwa sana ila kwa bahati mbaya hatutapata mtu wa kuyazingatia.
 
Jiwe asinge pata hata ubalozi wa nyumba kumi.....lkn mzee wa msoga bado ni tunu adimu sana..mleta mada huna akili.....
Hao walomchagua na weye nani ana akili nzuri???

Punguza kuropoka uheshimiwe mie...
 
Mbona unamdharau mtu aliyekaa kwenye Diplomasia miaka mingi kama JK.
 
anhaaa, nimeonakana mimi ni kijana mdogo sana?

basi sawa, fahamu kwamba katikati yenu kuna kijana mdogo mmoja anasema mfalme hajavaa nguo!

kiongozi ambae ameshindwa kuleta fursa sawa za elimu bora kwa kila mtoto wa nchi yake, tena bila aibu huwa anasomesha watoto wake yeye kwenye shule maalum, na anadiriki kusimama mbele ya hadhara kujitangaza (kwenye hotuba yake mazishi ya Magufuli) huyo mtu hafai kuongoza taasisi ya UN ya kusambaza elimu bora kwa kila mtoto.
wewe hata ungeenda shule bora unge fail tu....ungerudi kitaa bila bila....unataka mtoto wa Rais akasome kata?? Wkt ana mshahara mzuri?? Huyo mtoto wa mnene alifaa akasomee huko Yale university...kwa mshahara na umaarufu wa kikwete vinatosha kumlipia ....hata leo..... bure tu wangelipiwa wale.....ukichukia saaaana kwa jinsi alivo kikwete fanya ivi...... nenda mtera paleee!! kwenye magurumu yanayo fua umeme vua nguo yakalie km unayarukia ivi...hapo sasa kikwete hutamuona..
Mkwere ni mtu hasa zaidi ya rais mstaaf km alivo rangi yake...siyo jiwe rangi imefubaaa bin kuchakaa utadhani siyo rais.....Sasa rais gani unakufa????
 
Back
Top Bottom