Jakaya Kikwete atabaki kuwa Baba wa Demokrasia bora Tanzania kupita Marais wote waliopita na wajao

Aah wapi ndio alimpiga Ulimboka.

Ametuletea Magu
 
Kama alidhamiria kudhurumu uhai wa mtu anaepigania haki kwa amani, si muumini wa demokrasia
Hiyo ilikuwa peration, hata ingekuwa ww ungefanya kama alivyofanya
 
Familia huyo jamaa ndo imeshikilia uchumi asilimia 70%

Sita disclose Ila elewa hilo
 
Jakaya Kikwete hazeeki haraka kwasababu hana kinyongo na mtu, hana roho ya kukunja wala uonevu.

Mwenyezi Mungu azidi kumpa umri mrefu ili ibaki kuwa hazina kwa watoto wetu tuwaonyeshe wamuone akiwa hai.

Wewe hujui kitu, nenda U.A.E uone, wale hawana zoo ile ni total safari park. Ni mpya kabisa na wanyama wamejaa, sasa uliza wamewatoa wapi?
 
Watu kama huyu mleta hii mada ndio wanaichelewesha Afrika, ukweli usemwe
Kuchelewesha kivip mkuu, kumsia mtu kwa mazuri aliyofanya ? Nikuichlewesha how
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…