gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
We mwongo,chakubimbiWewe endelea kubishana mitandaoni.
Ikiwa unakaa mitandaoni hauna Biashara kubwa , haujawahi kufanya Kazi na deep state
Utaendelea kubwabwaja hapa and I can't make argument with you anymore.
There's a lot of consumers in this platform .
We mwongo,chakubimbi
Uache uzushi na uwongo,chuki haikufikishi popote,ndiyo nyinyi wale eti gas imeuzwa kwa wachina Ili ridhwan asiuawe baada ya kukamatwa na ngada china,yaani ridhwan don ahangaike na mzigo wa ngada badala ya kutumia punda!?Sawa Ila endeleeni kuamini hivyo.
We unaongea habari za vijiweni sasaUache uzushi na uwongo,chuki haikufikishi popote,ndiyo nyinyi wale eti gas imeuzwa kwa wachina Ili ridhwan asiuawe baada ya kukamatwa na ngada china,yaani ridhwan don ahangaike na mzigo wa ngada badala ya kutumia punda!?
Weka ww unavyo
Acha chuki za kijinga kenge weweWe unaongea habari za vijiweni sasa
Duh kivipWatanzania hawali democrasia
Huyu lakini ameonyesha kuthubutu, juu ya katiba, democrasia je hao wengine wamefanya nn zaidi ya kia watu na kutekaHuyu aliyeanzisha mchakato wa katiba mpya halafu kwa unafiki akarudi kuuvuruga mwenyewe hadi leo tumebaki na katiba ya kidikteta? Nature haitamuhurumia kamwe na vifo vinavoyoendelea vya kisiasa atadaiwa hizi damu!
Unajua maana ya demokrasia wewe? Nitakubali kuwa alikuwa na nafuu lakini hakuwa mwanademokrasia hata kidogo.Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Nimefikilia sana leo juu ya uchaguzi ulivyo fanyika, kulinganisha na chaguzi zingine zilizo pita chini ya maraisi mbalilmbali Tanzania
Nikabaini kuwa mh.kikwete miaka yake kumi alifanya bora zaidi ya katika kuruhusu democrasia ya kweli.
- Watu wali mtukana ,hakuwazuru
- Watu walikuwa huru kutoa maoni yao
- Vyombo vya habari vilikuwa huru
- Uchaguzi ulifanyika kwa amani kabisa bila kumwaga damu za watu
- Watu hawakupotea ,kutekwa, kuuwawa, nk, ni kesi tu ya mwangosi, ambayo nayo ilikuwa bahati mbaya.
- Wapinzani walifanya siasa na wakachaguliwa, bila shida yoyote .
- Raisi ambaye kwa kweli mm binafsi alifanya vizuri sana ukilinganisha na wengine.
NB. Wengine huwa wanasifa mtu akiwa amekufa, mm mzee nakupa maya Yako wakati u hai , uishi maisha marefu sana. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Kikwete alifanya yote lakini alikosea kitu kidogo sana, angeipa nchi katiba mpya, yale yalikua mahitaji ya wakati na nyakati.Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Nimefikilia sana leo juu ya uchaguzi ulivyo fanyika, kulinganisha na chaguzi zingine zilizo pita chini ya maraisi mbalilmbali Tanzania
Nikabaini kuwa mh.kikwete miaka yake kumi alifanya bora zaidi ya katika kuruhusu democrasia ya kweli.
- Watu wali mtukana ,hakuwazuru
- Watu walikuwa huru kutoa maoni yao
- Vyombo vya habari vilikuwa huru
- Uchaguzi ulifanyika kwa amani kabisa bila kumwaga damu za watu
- Watu hawakupotea ,kutekwa, kuuwawa, nk, ni kesi tu ya mwangosi, ambayo nayo ilikuwa bahati mbaya.
- Wapinzani walifanya siasa na wakachaguliwa, bila shida yoyote .
- Raisi ambaye kwa kweli mm binafsi alifanya vizuri sana ukilinganisha na wengine.
NB. Wengine huwa wanasifa mtu akiwa amekufa, mm mzee nakupa maya Yako wakati u hai , uishi maisha marefu sana. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Mazee ya ccm ndo yaliyomsanua akabadilika dk za mwsho bungeniKikwete alifanya yote lakini alikosea kitu kidogo sana, angeipa nchi katiba mpya, yale yalikua mahitaji ya wakati na nyakati.