Mahakama Mbona haikumtia hatiani kama alikuwa Mwizi? Uliibiwa nini?Wakati wa kampeni ya urais 2015 Kinana,Bulembo,Nape na Makamba ndiyo wamezunguka nchi nzima kumpigia kampeni Magu lakini alivyopata urais baadaye aliwageuka mbona hamsemi mnamsimanga JK tu! Acheni unafiki jitu likiwa jizi huwezi tu kulilinda kisa eti ni rafiki yako.
Hao uliowataji ni yupi aliyerithishwa urais?Q
Una akili za kitoto sana. Viongozi wengi wa Tanzania ni washikaji, watoto, ndugu wa viongozi wa zamani Nape, Makamba, Mhagama, Ridhwani na wengine. Mimi sipendi huo ujinga, ila usaliti ni usaliti. Uwe kwa uhuru na Ruto au JK na lowassa.
Chadema walipata kura milioni sita. Wabunge kibao. Impacy yake iko kwenye elimu, maji, kumsaidia Kikwete kuwa Rais.Hao uliowataji ni yupi aliyerithishwa urais?
Tumia akili angalau kidogo.
Lowassa alipokosa uteuzi wa CCM alipata uteuzi wa Chadema amefanya maajabu gani?
Au ulitaka aibe zile kura za Magufuli amjazie rafiki yake?
Kwa taarifa yako kwenye uchaguzi wa mwaka 2015 Kikwete alikuwa na marafiki wengi.
Kaangalie ile hotuba aliyotoa msibani.
Hata Samuel Sitta alikuwa rafiki yake alimsaidiaje ili ashinde? Ulimsikia Sitta au wafuasi wake wanalalamika?
Utoto unakusumbua.
Tatizo mmejaa maneno mengi ya kipuuzi lakini hampigi kura.
Lowassa aligombea kwa tiketi ya CHADEMA mbona hukumpigia kura?
Simamia hoja, Kama utawala wa Kikwete ulikuwa unatumiwa wauza unga hiyo ni hoja nyingine.Kazi yako ni kumtetea JK aliifikisha nchi pabaya. Madawa ya kulevya, rushwa, maji, umeme, vyote vilikuwa changamoto JPM akaoa jahazi.
Mzee KashauloHilo la urafiki sio kweli, uliishia 2015.
Sijui uelewa wako kwenye mambo haya .kwa nini mtu asiye mwajiriwa wa serikali awe msemaji wa serikali ?
Anatuwakilisha PwaniMtoto wa mjini...Dar oye, yupo vizuri kwenye kuongea.
Unafiki unawasumbua haoWakati wa kampeni ya urais 2015 Kinana,Bulembo,Nape na Makamba ndiyo wamezunguka nchi nzima kumpigia kampeni Magu lakini alivyopata urais baadaye aliwageuka mbona hamsemi mnamsimanga JK tu! Acheni unafiki jitu likiwa jizi huwezi tu kulilinda kisa eti ni rafiki yako.
Sijui uelewa wako kwenye mambo haya .
Tangu msiba huu mkubwa umetokea watu mbalimbali ambao walikuwa karibu na marehemu kwa namna moja au nyingine wanahojiwa.
Hata watoto wanaosoma shule za kata wanahojiwa waseme chochote.
Sasa iweje mtu ambaye amefanya naye kazi kwa ukaribu anyamaze ati kwa kuwa wewe memba wa Jf hutaki kumsikia!?
Kama hupendi kumsikia furani kaa kimya.
Kujaribu kumnyamzisha ni udikteta, udikteta ni kinyume cha Katiba.
Maana kila mtu ana haki ya kusema anachotaka ili mradi asivunje sheria.
Na chadema nao,mbona unajitoa ufahamu ndg?Kuna mdau alisema tutegemee unafiki mwingi kwenye msiba wa lowasa kutoka Kwa Wana CCM tiyari tushaanza kuushuhudia
Sasa Rich Monduli Mvua za Mareshia haya yote ulikuwa uongo Lowasa Kidume sio??? Wabongo ni watu wasioeleweka wanataka nini???Unafiki mkubwa sana
Tatizo hawajui kuwa shilling ina pande mbiliJK anamjua EL kuliko Mimi na wewe tunavyomjua, EL Marehemu inawezekana alimjua JK kuliko Mimi na wewe tunavyomjua pia.
Kwanini walikosana, JK na EL wenyewe ndio wanajua ni kwanini, mengine ni umbeya Tu.
Unaweza kumuona JK ni mkosaji kumbe EL inawezekana ndio alikuwa mkosaji au kinyume chake pia.
M/MUNGU ampe maisha marefu yenye heri na afya teleRais Mstaafu Jakaya Kikwete
huyu ndio baba wa siasa kwa tanzania wallah ana nguvu kubwa ya ushawishi isiyo na kifani
Dini inaigiaje hapo?vizee vya kiislam vinafki sana.
Ndio Marehemu alivyokwambia??Yeye alivyomaliza miaka kumi yake kulikuwa na shida gani yeye akae pembeni amwachie Lowassa apambane?
Makubaliano huwa yanakuwepo. Kama Blair na Brown, Ruto na Uhuru, JK na Lowassa. Uhuru na JK ni ubinafsi, wivu, husuda uliwaongoza.
Bwashee Dunia ina mambo Mengi Sana hii
Chuki ni kujimaliza mwenyewe
Hivi nyie mnaongea nini? Sasa Richmond ilivyobumbuluka, mlitaka Jakaya ndio ang'atuke? Ofcoz ilikuwa lazima Waziri Mkuu ndio asepe. Mnamuonea huruma ya nini? Kwani alivyokubali uwaziri mkuu si alijua consequences zake? Hiyo ndio siasa. Asingetaka siasa angebakia kwao Monduli kuchunga ng'ombe
Kumtoaje tena? Kikwete alishamaliza 10 yake mkuu.Siyo unafki ndio siasa mmoja bahati mbaya kashinda na mwingine kashindwa, lowasa angemtoa kikwete si wote tungesema kikwete dhaifu kama lema alivyokuwa akimwita one term president,