Jakaya Kikwete: Nilifundishwa kuishi na viongozi wenzangu, upendo ndio kila kitu

Ukisikiliza kwa makini bila ya kuweka ushabiki na chuki unaona kabisa hawa wazee waliwahi kupigania nchi kwa namna moja au nyingine hongera kwao.

Sikuwahi kujua kama ditopile alikuwa mjeshi!
Au baba yake nape nae alikua mjeshi, so hii hafla hata kama itaonekana kuna mengine ndani yake lakini kuna historia tumepata.
 
... Kapteni Ukiwaona Ditopile Mzuzuri; Brigedia Mosses Nnauye!
 
hahahahahahaha....inabidi tucheke tu..
 
Mtandao unaanza kwa kasi kujijenga upya. Naona 2025 ni mwaka wa maamuzi kwa wanamtandao tena. Kikwazo kikubwa kwao ilikuwa ni Mwl. Nyerere, ila kwa mazingira ya sasa hakuna tena wa kuwazuia.
 
Kumbe walikua wazito aisee
... tena Brigedia Nnauye aliongoza tume ya ukombozi wa nchi za kusini mwa Afrika; enzi hizo ukombozi umeshika kasi. Mwanafunzi mwaminifu wa Mwalimu.
 
Wewe utakuwa Kabwili siyo bure

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
... tena Brigedia Nnauye aliongoza tume ya ukombozi wa nchi za kusini mwa Afrika; enzi hizo ukombozi umeshika kasi. Mwanafunzi mwaminifu wa Mwalimu.
Asante mkuu, watu wametoka mbali na nchi hii, ni vizuri wakaheshimiwa hata kama sio moja kwa moja
 

Kumbe Ditooile Mzuzuri bado yupo? Na yule aliyefia gest kule Morogoro mwaka ule alikuwa anaitwa Ditopile nani vile??
 
Hata angekuwa bondeni kwa Mandela, angepata kashi kashi sana kwa hujuma aliyoifanyia nchi hii!! Enzi ya Magufuli HOME SHOPPING CENTRE [ GSM] uliwasikia? Huoni ajabu leo wameanza jeuri yao?
Magufuli Nani kwenye hii Nchi?? Mpuuzi wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…