Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 10,181
- 7,382
Vijana wa Kizimkazi bwana, sijuwi wataelimika lini hawa. Awali niliuliza kwa nia nzuri tu kwamba je hizo clinic (zahanati) zina madawa kweli? Kumbuka, nimekuuliza swali la maana hapa, wewe umejibu vipi baada ya kuulizwa?Majengo yapi hayana dawa? Au unaropoka tuu kisa chuki zako?
Vijana wa Kizimkazi bwana, sijuwi wataelimika lini hawa. Awali niliuliza kwa nia nzuri tu kwamba je hizo clinic (zahanati) zina madawa kweli? Kumbuka, nimekuuliza swali la maana hapa, wewe umejibu vipi baada ya kuulizwa?
Danganya chawa wenzio tu.Uko sahihi na wanaendeleq kuila kama hivi 👇 👇
View: https://www.instagram.com/p/DJj5py_MvcD/?igsh=MTB3cThqNnJxa3V4MA==
Na wewe kale minyama.Danganya chawa wenzio tu.
Wanakula minyama halafu wanaturambisha mchuzi
Reforms za uchaguzi hazisaidii watu kupata hela ila maendeleo na miradi kama hii ndio itafanya reforms kwenye maisha Yao.No reforms no election
Mkuu endelea kuweka data humu jukwaani. Waachie wanaharakati kelele zao.
Mbona wewe inaemtukana hajakuua?huyu bibi lazima tumfurushe, halafu ndio tutamshughulikia huyu mnafki fisadi muuaji anayeua wenzake kwa manufaa yake
Bure kabisa.My Take
Linapokuja Suala la delivery,Samia ni next level,tunae Rais anaeleta matokeo.JK Yuko sahihi
Pia soma Pre GE2025 - Rais Samia na Miaka 4 ya Uongozi wenye Neema, Watanzania Waogelea Kwenye Mafanikio huku Akijenga Dira ya Tanzania Mpya
View attachment 3299518View attachment 3299519
Na huyu CAG harudi wanapenda kumfukuza wanamuona kama vile analeta taharuki.Kweli kabisa kunguni mwandamizi wa mama Abdul.
Aione kwenye jalada kunguni msaidizi Lucas Mwashambwa .
View attachment 3299562