PreGE2025 Jakaya Kikwete: Rais Samia akichaguliwa tena Taifa litazidi kupata maendeleo makubwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tatizo umekaa ki puppets sana!

Nikikutajia makampuni yaliyofungasha virago na kuondoka utasaidiaje?
Kama wewe ni mmojawapo mpeleka taarifa inaonyesha utakuwa mkika data! Hujui kitu ni kusifiasifia tu!
Unaongekea kilimo?? Ni lini Sekta hii iliwahi kufanya kazi kiufanisi zaidi ya kipindi cha mwalimu? Mmejiuzia mashamba makubwa mfano KAPUNGA mkawaweka wahindi kama maboya wakati lile lilikuwa eneo la uzalishaji mpunga kwa NAFCO na Wananchi!
Ache kufanyia kazi kwenye majengo na kupika data! Fanyeni research mtoe taarifa za ukweli! Mpo mnamdanganya mkuu! Shame on you!
 
Mradi wa Umwagiliaji wa zaidi ya Bilioni 150.

Hakuna aloyewahi fanya zaidi ya Samia..

Endelea kusubiria porojo za kina Heche πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DIjvBXyOu98/?igsh=MWUxNnZnZjA3YWF6dQ==
 
Hoja kubwa sanaaa hiyo....kama ukiwa buku 9 hutaelewa wewe ni kuabuduu na kusifu .....ndio maisha yako....ungeΔ·uwa unatoa jasho ungelilia haki .....no reform no election
Jadili hoja acha vioja
 
Mbinafsi sana huyu mzee. Huyu ndiyo kirusi kinachozuia mabadiliko .
 
Ni kweli.
Yaani kenya na shida zao zote wamepanda toka 114b to 133b.
Sisi tumestuck hadi top 10 hatupo tena. Shilling yetu inazidi kushuka thamani na hii inatuaffect hadi kwenye GDP ya nchi


Kimsingi GDP yetu ilipaswa kuwa 100+b
Sasa tunapitwa na ghana, ivory coast, na soon Uganda atatupita maana GDP yake ni 66b
Na Congo kwenye vita atatupita soon

Kimsingi waziri wa fedha atumbuliwe
 
Mbona hujaweka ya Tanzania badala yake unaweka taarifa kiushabiki na kichwani Ili kufurahisha ego Yako.

Weka hapa full report Ili tujue status ya Tanzania tulinganishe data za 2021 vs za 2025 tuone tumesogea kwa.kisasi gani.

Mwisho Kenya hakuna shida zozote za maana zaidi ya vurumai za Kisiasa ambazo hazijawahi kudumaza uchumi wao.

Wakenya ni vigorous business minded people and they are aggressive to opportunities as opposed to nyie mnaodai uwekezaji ni kuuza Nchi.

Mtaendelea kulalamika Kwa Serikali Kila kitu na akili zenu za kijamaa mbuzi.

Mwisho Uchumi unakua at steady growth kutoka USD 69 (2021) Hadi USD (86) 2025.


On top of that data zilizopo rasmi ni zile za 2023 ambapo tuna USD 79,za 2024 ndio hizo tuko around USD 85 na kwamba by the end of 2025 yaani mwaka 2026 tutakuwa na USD 90 plus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…