PreGE2025 Jakaya Kikwete: Rais Samia akichaguliwa tena Taifa litazidi kupata maendeleo makubwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Umaandika ujinga tu. Hebu hesabu uchumi toka 2024 to 2025

Waulize wakenya wanafanyaje kuongeza dollar billion 20 ndani ya Mwaka mmoja tu.

Unaonekana wa ajabu kuendelea kusupport Ujinga. Kenya hawajauza mambo yao kwa mikataba ya ovyo ili kukuza uchumi wao.
Nyinyi na serikali yenu ndo janna akili za kuendesha hii nchi.
Ni busara kuachia madaraka na kuruhusu watu wenyew uwezo waongoze kuliko kuzidi kutumbukiza nchi shimoni
 
Uchumi wa Kenya ni mkubwa karibia mara 2 ya Tanzania.

Walikuwa Kwa hata 4% wewe ukawa na 6%, quantity inayoongezeka kwao ni kubwa karibu mara 2 zaidi ya Tanzania.

Ukitaka ku match nao uwe na growth mara 2 Yao ,kitu ambacho ni mtihani mgumu sana Kwa Nchi inayowaza ujamaa mbuzi 😂 😂

Mpaka hapo ujinga uko wapi? Unauliza ukuaji ni upi kwani sijakuqekea takwimu za 2024 ambazo ni annual growth ya 5.5% ?

2025 , annual growth yetu inatarajia kuwa 6%

Mwisho kama Samia ndio ka deliver zaidi kuliko anyone else ,h wenye uwezo ni kina nani?

Mtaota sana she is here to stay till 2030.

View: https://www.instagram.com/reel/DI2AgzcvOk7/?igsh=bDF3c3k1a2drNmRh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…