PreGE2025 Jakaya Kikwete: Rais Samia akichaguliwa tena Taifa litazidi kupata maendeleo makubwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Jifunze pia kuongea kiswahili, sema tu siyo "tuu" Unaharibu kiswahili, huna haya wewe mjinga.
Nyumbu acha wenge, maendeleo sio porojo za ufipa ni matendo na matokeo kama haya πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://x.com/HusseinBashe/status/1919281268530851926?t=O9LcbasjKN6aXdhXZEuJZQ&s=19
 
Nyumbu acha wenge, maendeleo sio porojo za ufipa ni matendo na matokeo kama haya πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://x.com/HusseinBashe/status/1919281268530851926?t=O9LcbasjKN6aXdhXZEuJZQ&s=19
Jipe moyo tu wewe, tangu lini nchi hii imefanya kitu kikafanyika? Vyote feki tu, tume ya uchaguzi feki....wanaovaa kijani, katiba isiyofuatwa, rais asiyejulikana kiwango chake cha elimu....ndio maana anaua ua na kuteka watu ovyo, miradi inayoleta hasara sikuzote kwa kutumika kisiasa. Etc. Wewe nyamaza usiongee nyumbu ninyi mnaoteka na kuua, hamna aibu wajinga ninyi.
 
Ingekuwa haifanyi kikafanyika Leo hii Tanzania isingeweza kuipita Nigeria Kwa uzalishaji wa mahindi n kuwa namba 2 Afrika.

Nyumbu Acha wenge na Bangi za ufipa unapotea ,kazi zinaongea πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DI7NKXjtu-4/?igsh=MTJqdWkzbXNwZ3pr
Mwisho Mnaotaka kuvuruga amani mtekwe tuu kwani mna faida gani?
 
Ndunga kauli zake ni za hovyo sana. Huyo jamaa aliwahi kutaka kubadilisha katiba ili Jiwe atawale milele so usimchukulie seriously sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…