Chaguo la Mungu? Shame on you!Chaguo la Mungu haliwezi kufeli...Mungu atamuongoza huyu mama na nchi itafika mbali.
Mungu alimchagua huyu lini na kwenda kufanya kitu gani?
Hebu weka hapa uthibitisho tuuone?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chaguo la Mungu? Shame on you!Chaguo la Mungu haliwezi kufeli...Mungu atamuongoza huyu mama na nchi itafika mbali.
Mungu alimchagua Kwa kumuondoa bwana Yule na kuingia Samia. Wewe ulijua kuna siku atakuja kuwa Rais? Ni mipango ya Mungu. Mnaotaka afeli mtasubiri sanaaa.....Aliyemuweka atamuoongozaChaguo la Mungu? Shame on you!
Mungu alimchagua huyu lini na kwenda kufanya kitu gani?
Hebu weka hapa uthibitisho tuuone?
Kwanini unaongelea ushungi? mavazi yake yana uhusiano gani na utandaji wake...achani chuki za kidini, mnatufanya sie waislamu kumtetea hata kama ameshindwa uraisiSamia zaidi ya kuvaa ushungi hakuna anachodeliver kwenye nchi!
Weka uthibitisho hapa na uache hekaya!Mungu alimchagua Kwa kumuondoa bwana Yule na kuingia Samia. Wewe ulijua kuna siku atakuja kuwa Rais? Ni mipango ya Mungu. Mnaotaka afeli mtasubiri sanaaa.....Aliyemuweka atamuoongoza
Aisee!!!Mungu alimchagua Kwa kumuondoa bwana Yule na kuingia Samia. Wewe ulijua kuna siku atakuja kuwa Rais? Ni mipango ya Mungu. Mnaotaka afeli mtasubiri sanaaa.....Aliyemuweka atamuoongoza
kiwete ni rais mbovu kuwahi kuumbwa. alikuwa aibu na ajali kwa taifa mwizi na mzururajiRais mstaafu J. Kikwete akihojiwa amesema nchi inakwenda vizuri chini ya Samia na changamoto mbalimbali zinaondolewa ikiwemo uongezaji wa huduma za dharura kwenye sekta ya afya.
Kikwete amesisitiza Samia analeta matumaini kwa watanzania kwa manufaa ya leo na kesho.
My take. Hii inaweza kuwa ni njia ya kumsafisha Samia na madhaifu yanayoonekana kwenye utawala wake, amejitokeza kubadilisha upepo hasa baada ya uteuzi wa juzi wa mawaziri na lile jina moja linalojirudia kila awamu.
Kabla sijatia neno naomba ushahidi wa hayo mahojiano...Rais mstaafu J. Kikwete akihojiwa amesema nchi inakwenda vizuri chini ya Samia na changamoto mbalimbali zinaondolewa ikiwemo uongezaji wa huduma za dharura kwenye sekta ya afya.
Kikwete amesisitiza Samia analeta matumaini kwa watanzania kwa manufaa ya leo na kesho.
My take. Hii inaweza kuwa ni njia ya kumsafisha Samia na madhaifu yanayoonekana kwenye utawala wake, amejitokeza kubadilisha upepo hasa baada ya uteuzi wa juzi wa mawaziri na lile jina moja linalojirudia kila awamu.
Endelea kupiga tantalia wakati mwenzako bank kuu ya kenya inasema chini ya itawala wake tumeuza zaidi kenya kuliko wao walivyouza kwetuSamia zaidi ya kuvaa ushungi hakuna anachodeliver kwenye nchi!
Mjini wapi? Chato?Huku mjini tunachokiona ni mateja kuongezeka sana, pesa halali hakuna.
Halafu unaambiwa nchi inaenda vizuri. Haya Bwana. Mungu sio wa chalinze.
Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
😅😅😅😅😅😅Mshika remote aisifia TV
hebu wewe twambie uko wapi huo udhaifu?Watanzania hatutakiwi kuambiwa na Kikwete kama nchi inaenda vizuri ama lah, sisi wenyewe tunaona udhaifu wa mama uko wapi.
Usinene ukamaraZilongwa Mbali Zitendwa Mbali