Jakaya Kikwete: Rais Samia anaendesha nchi vizuri, tuendelee kumuunga mkono

Madhaifu gani uliyoyaona wewe,au shida zako binafsi zinakusumbua?
 
Mzee Mwinyi kiongozi muungwana alikiri kuwa Uzee umemletea changamoto ya kupoteza kumbukumbu. SasaTanzania tumebakiwa na huyu kama ndio tunu/lulu ya taifa.
 
Jk msikilize polepole anasema nyie ndo deep state
 
Amekuletea matumaini wewe na mumeo tu.Tuache tunaoumizwa na tozo umiza.
 
Huyo JK sikuwahigi kumlenda tangu mwanzo. Alipopitishwa 2005 kuwa Mgombea Urais wa CCM nililia sana siku hiyo. Na hata leo simpendi. Siku "akienda zake" nitakunywa pombe ya gharama ya juu zaidi inayopatikana mtaani kwangu!!!
 
Kwani nani mjinga asiyejua kuwa yeye ndiye rubani wa dharura baada ya rubani kamili kuondoka? Mbaya zaidi anayesoma ramani ni Prince na ndiye full controller wa chombo na ndiye anamwelekeza yeye wapi aelekeze chombo!!
 
Yeye ndio ameshika remote, usitegemee ajikosowe mwenyewe.

Cartel is back.
Iko hivi kama hamjagundua,
  1. Vasco ameshika remote
  2. Prince ndiye anamwelekeza Vasco buttons za kubonyeza
  3. Na picha ndiyo hiyo mnayoona
 
Nchi inaenda vizuri sana.
 
Lazima amsifie sababu Timu yake yote inarudi mamlakani

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
…..enhee, na hili la Machinga tunafanyaje babu wee?

…. hilo waambie watendaji wako wakae na wenyeviti wa Wamachinga wapangane wenyewe…. waskutie wazimu we Chaurembo
 
Hayo ni maoni ya JK kama JK, Rais mstaafu na mwananchi kutoka Msoga....ni haki yake kidemokrasia kutumia akili yake na kutoa maoni yake HAKUNA KIGUMU HAPO..

Ni jukumu la kila mtu kutoa maoni yake, wewe binadamu A unayeishi Mbagala, Mikocheni, Kiburugwa, Arusha, kemakolele, Mgumu, Nyamwaga, Iyunga, Soko matola, Bombambili, Matimila, Kisesa, Isamilo, Kilumba nk...HAWA WOOOTE NI WATANZANIA WANAHAKI PIA YAKUTOA MAONI YAO KAMA JK alivyotoa maoni yake...HAKUNA KIBAYA...
 
hatoboi??
 
Mungu ibariki Afrika..
Mungu ibariki Tanzania...
Ameeeeeeeeen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…