Jakaya Kikwete: Rais Samia anaendesha nchi vizuri, tuendelee kumuunga mkono

Itakuwa kuna jambo weshavurugana, sasa wanatongozana kuungana mikono na miguu. Laana ya wizi wa uchaguzi itawatafuna mpaka mtoke mafunza. Ingawa dua la kuku halimpati mwewe kwa dalili naona kama dua limeshaanza kufanya kzi kitambo.
 
Chaguo la Mungu haliwezi kufeli...Mungu atamuongoza huyu mama na nchi itafika mbali.
Baadhi ya Watanzania hawana shukrani
Mama Samia is doing soo much...

ni kweli Mungu atamuongoza na watashangaa...

binafsi namtia moyo..Mungu yuko na wewe Mama..so far so good..unaweza🙏🏽
 
Sukuma gang[emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870]

Wanamatatizo kweli ukabika umewatawala Nyerer ana wawjua ndio maana alikua na nadharia ya kua nihatari Msukuma. Muhaya . Mchaga na Mnyakiusa kua Raisi
 
Ukarimu wote anaompa ndo leo asimsifie kweli, hawa wote wezi tu na huyo mpuuzi angejua kitaani anavyochukiwa laiti angekaa kimya. Hakuna anayeomba kifo ila huyu dalali akifa nitamtolea Mungu sadaka nono sana
[emoji849]
 
Wachaga na Wasukuma mna shida. Kazi kuponda mitandaoni
 
Najaribu kufukiri ni samia au ni yeye...
Rais mstaafu J. Kikwete akihojiwa amesema nchi inakwenda vizuri chini ya Samia na changamoto mbalimbali zinaondolewa ikiwemo uongezaji wa huduma za dharura kwenye sekta ya afya...
 
Rais mstaafu J. Kikwete akihojiwa amesema nchi inakwenda vizuri chini ya Samia na changamoto mbalimbali zinaondolewa ikiwemo uongezaji wa huduma za dharura kwenye sekta ya afya...
Watanzania kwa Unafiki tumepitiliziza. Haiwezekani Haiwezekani kila Rais tuseme anafanya vizuri wakati wanafanya things differently.
 
Iko hivi kama hamjagundua,
  1. Vasco ameshika remote
  2. Prince ndiye anamwelekeza Vasco buttons za kubonyeza
  3. Na picha ndiyo hiyo mnayoona
Si mnasema Nchi inaongozwa na Majaliwa ? Mbona JF siku hizi kila mtu mtabiri
 
Wanamatatizo kweli ukabika umewatawala Nyerer ana wawjua ndio maana alikua na nadharia ya kua nihatari Msukuma. Muhaya . Mchaga na Mnyakiusa kua Raisi
Wameshakuwa na wanakuja tena, wasukuma ni sawa na maji, usipoyanywa utayaoga, au utamwagilia bustani
 
The cartel is scrambling for the wealth amassing while commending futility at stake, Tanzania is doomed hurling into the darkest moment ever experienced since the time memorial
 
Ukistaafu ndo muda pekee wa ku enjoy maisha kwa usawa wake unakuwa mbali na social media yaani unaishi ile Maisha halisi na wajukuu wako huku ukifuga zako mifugo ama bustani zako yaani unaishi kama Eden.

Sasa ukiona mtu kastaafu lakini bado yupo active na shughuli alizokuwa anafanya awali ni wazi kabisa kuna maslahi mapana anayoyapata na yuko radhi kutukanwa hatojali.

Mzee Mwinyi nikutakie Maisha marefu kabisa yenye Amani na furaha tele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…