Hujajibu swali nipe uthibitisho kuwa huyu Samia amechaguliwa na Mungu!Kwa watu wenye imani ya Mungu huamin kua Mungu huumpa ufalme amtaye na humnyima ufalme atakaye wewe uwe na majeshi na kura zote ziwe zako kama Mungu hakuandika wewe kua Mfalme katu haiwi atakufanyia chochote kile ili usikae pale na unaweza kua kapuku kama tulivyo mimi na wewe kama Mungu alituandikia kuwa Wafalme iko siku unashitukia umekua Mfalme bila hata mwenyewe kujua hivi kwa akili yako iliwahi kupita kichwani mwako kua ikosiku Mgufuli angekua Raisi wa nchi hii? ukimtizama alikua na uzito upi ktk Chama CCM?
Ingetokea Jiwe akampendekeza Pole Pole kuwa mgombea mwenza Tangu awali so saa hizi pia ungesema Pole Pole ni chaguo la Mungu ila sio kwamba kawa Rais by default?