AlanusJosephat53
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 747
- 746
THE FALL OF CCM 1995-2025.✍️📌Umeifanyia mengi nchi hii
Mpaka unastaafu ulikuwa Rais bora kabisa
Uliwabeba wapinzani na kuimarisha demokrasia
Kujiataach na utawala huu watu wameanza kukuchukia
Nachelea kusema mazuri yote uliyofanya yanafutika
Itakuwa ni huzuni watu wakishetehekea siku ukitutoka.kumbuka una miaka 75 sasa.
ImagineWatz bhana kwa kuwa emotional..
Kwa hiyo unadhani watu ambao wapo radhi mali za nchi zipigwe mnada au wachote mabilioni huku watu wakifariki hospitalini kwa kukosa dawa. Ndio watajali nyie mkishangilia vifo vyao kuliko wao kutengeneza dynasties na kuhakikisha hata wajukuu zao wataogelea kwenye mabilioni "generational wealth"...
Mnadhani watu wanajali sana nyie kuwapenda tofauti na kipindi cha kampeni. Amkeni ndotoni wakuu, watu mioyo ishakufa ganzi mbele ya maslahi
😆😆😆Wasiwasi Wako Tu.....
Wananchi wangapi?. Wapiga kura wa TZ ni wengi sana na wamejiandikisha, idadi yao ni milioni 37.Naunga mkono hoja
Kwangu mimi JK alikuwa rais mwenye nafuu sana, alijitahidi kuvumilia bunge huru, mahakama haukuchezewa kivile, vyombo vya habari lilikuwa na uhuru, matendo ya utekaji yalikuwa ni negligible, alijenga mabarabara mengi, shule nyingi za kata, udahili wa wanafunzi vyuo vikuu uliongezeka, ajira nyingi sana kila siku, internationally tulikuwa influential ktk siasa za Africa. Ofcourse na mapungufu yalikuwepo.
Lakini Pamoja na hayo sasa ni muda muafaka wa yeye kutambua kuwa Rais wa sasa hakubaliki, na yeye kudhani anaweza kumpigania rais huyu kumsaidia "angalau" aweze kuvuka muda wake salama anakuwa anajiharibia legacy yake mwenyewe, wananchi wanakuwa wanamchukia yeye pia.
Milioni 37 za mchongoWananchi wangapi?. Wapiga kura wa TZ ni wengi sana na wamejiandikisha, idadi yao ni milioni 37.
Tukipewa uhai usishangae Samia akashinda ushindi wa kishindo kikubwa, Wenye akili timamu wanajua anafanya kitu gani, achana na hivyo vitoto vilivyoshangilia kifo cha Ndugai lipo kundi kubwa sana linasubiri siku ifike likapige kura kwa Samia.
Wapinzani walishanunuliwa na mfumo wa awamu ya nne.Kuzuia upinzani haikuwa sahihi. Na kuwahonga wapinzani haikuwa sahihi pia. Maendeleo tuliona kiasi kipindi cha Magu. Karudi Kikwete kwa mlango wa nyuma ni ufisadi tu kwa sasa.
Kwake ni politcs life carrierKati ya vitu Mzee wa Msoga hawezi kuacha/kusikia/kuelewa, basi ni hiyo ishu ya kuachana na mambo ya siasa na pia kusafiri kwenda Ulaya na Marekani.
Hizi ni hisia zako tuJk kawa rais wa hovyo baada ya kumaliza mda wake kuliko alivyokua madarakani
Oktoba ikifika siku ya uchaguzi utajua ni mchongo au ni kweli.Milioni 37 za mchongo
Ulitaka ziwe zakoHizi ni hisia zako tu
Ya Ndugai ilikuwa Kongwa zaidi sasa ya JK itakuwa nchi nzima!!Kama ya Ndugai
Kwa hali hii basi Roma Mkatoliki alikuwa sahihi kwenye ule wimbo wake.