Jamaa alieoa dada yangu mgumu kuwasiliana na sisi ndugu wa mkewe

Unataka na wewe ukutafutie mwanaume wa kukuoa?
 
That's me enzi hizo nikiwa na mke.sijawahi kuwa na mawasiliano na kwao kabisa kabisa. Ya kazi Gani? Ila misiba unaenda na vya kuchangia unachangia.
Nashangaa saivi unakuta Xmass au new year mtu anaupokelea ukweni. Tena SI mara Moja. Yaani mara kibao kijana wa kiume Yuko kwa wakwe Hadi Kona za vyumbani anazijua zote. Foolishness
 
Hao ungewatukana tu mkuu,. Hawana aibu loohπŸ™„
 
Eti mahari yenyewe hajamaliza🀣🀣🀣🀣🀣

Ndo unataka awe anawapigia kila siku kisa mnamdai🀣🀣🀣kheee.
 
Bongo bhana!
 
Je anawasaidia yani kama kumtumia mama mkwe au baba mkwe Hela
Je anashirikinkwenye matukio ya kwenu
Au je tatizo ni simu ,pia hivi mama mkwe utaongea nae kila siku
 
Na kujua Maendeleo yao
Wakwe wapigiwe japo mara moja kwa mwezi, story zisizid dakika 2,

Sijui shemej, mara wadogo wa mke hao wa kazi gani? Achanen nao, unless itokee kuna kazi mnafanya pamoj
 
Kabisa aise ata mm ni mvivu sana kupiga simu,japo NAMI sipigiwi
Watakupigia mwanzo wakiona wanakua wanapiga sana wao ila wewe haupigi wanakausha... Ni nafuu kwa maana inaondoa lawama sometimesπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Watakupigia mwanzo wakiona wanakua wanapiga sana wao ila wewe haupigi wanakausha... Ni nafuu kwa maana inaondoa lawama sometimesπŸ˜‚πŸ˜‚
Mama mkwe kuwasiliana ni kawaida tu,ila Kuna watu by nature wao mambo ya simu awayawezi harafu je kabla ya simu watu awakuishi au
 
Mama mkwe kuwasiliana ni kawaida tu,ila Kuna watu by nature wao mambo ya simu awayawezi harafu je kabla ya simu watu awakuishi au
Waliishi vizuri tu, na lawama ndogo ndogo hazikuwepo... Lawama za kwanini hupigi simu
 
Tena msije kuonesha pua zenu huko kwa shemeji yenu bila kua na mualiko rasmi. Na ukialikwa ni siku tatu tu mwisho wa kukaa na uje na nauli kamili ya kuja na kurudi
 
Akupigie ili ulipiwe na wewe mahari? Kwanza fanya utoke hapo kwenu wewe furushi.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…