Jamaa alieoa dada yangu mgumu kuwasiliana na sisi ndugu wa mkewe

Kwahiyo mtu akioa kwenu lazima apige simu kujichesha chesha?

........Wewe jamaa kapime akili.
 
Mashemeji wa hivi huwa mnakera sana au unataka kumsaidia dadaako kusuuza rungu na kulamba lolo?
 
Mi mwenyewe kupiga ukweni mke wangu kasema kachoka!!
Kutengeneza ukaribu na watu ambao hatujawai kuishi pamoja n ngumu sana
 
Hata usipompigia, dada anashenyentwa huko..!!
 
Kwani lazima ?
Itakua mnadai sana hiyo chenji iliyobakia mpaka jamaa anawaona hamfai kitu.
 
Achana na maisha ya watu mzee. Wewe mwenyewe ni shemeji wa mtu sehemu flan huko je unawasilina? Mahari umelipa? Je umemaliza?
Kama bado hebu subiri uingie kwenye level hizo halafu uone huwa inakuwaje
 
kuhus maisha wanaishi vizuri na dada yetu.....unataka nini zaidi ya hiyo amani ya dada yenu?
 
"Mume wenu". Naaaaam Naaaaam, wameolewa sasa ni wajibu wao kujipendekeza pendekezaaa
 
Unavoonesha ulitaka uwe unaongea nae hovyo hovyo umzoee ili uhamie kwake watu si wajinga siku hizi kastukia mchongo kama una dada mwingine tafuta shemeji usuke upya mipango

Ukweni tunapiga simu kwa sababu maalumu sio nipige eti nilikuwa nawasalimia tu kesho kutwa nipige tena kuwasalimia tu na mawasiliano na dada yenu kama yapo tatizo liko wapi au na nyie mnaenjoy mkisikia sauti yake kwenye simuπŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…