Jamaa aliyechoma Qur'ani Tukufu Salwan Momika, amekutwa amekufa nchini Norway

Muda wooote huo ingekuwa ni mauti yatokanayo na dhambi aloitenda angekufa siku hiyo au asubuhi yake bhana ni muda umefika kama watu wengine tu hakuna atayeishi milele
 
Vipi yule dogo wa Mbagala aliyeambiwa akiijolea atakuwa nyoka, dogo akasema msinitishe kamwaga kojo. Kilimkuta nini vile? Yaani kitabu aandike mudy akiwa mapangoni huko alafu mtu ukichome ufe? acheni mzaha kwenye vitu serious

Hicho ni kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake.

Muongozo kwa wacha Mungu.
 
Wamemuua alijisahauu, atokee mwingine Anonymous aichome bila kujulikana then tuone kama atakufa
 
Kala khasara, khasara iliyokuwa kubwa kabisa.

Cc Maghayo, adriz
 
Swala la kufaaa halihusiani na.kuchoma.Kuruani kama.ulivyoandishi na mawazo yako yalivyowazaa

Amekufa kwa sababu siku yake imefikaa

Acho upotoshajii
 
kwa bahati mbaya sana, kama alikuwa hajaokoka, atakutana na aliyeleta kitabu cha uongo, cha wauaji, waleta fujo kule motoni, anaungua moto mkali sana. Mungu wa kweli hakuleta icho kitabu, kinajicontradict kabisa na Mungu wa kweli. hivyo hataadhibiwa kabisa kwa kuchoma icho kitabu. nakuhakikisha hili. though hakutumia hekima, hata mimi siwezi kuchoma kitabu hicho kwasababu najua nitawaudhi wanaokiamini, ila Mungu hahusiki nacho kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…