Jamaa ameoa binti bila(shake well before use)baada ya ndoa amegundua mkewe ameharibiwa

Jamaa kama namjua vile,Mpe pole sana huyo mshikaji.
 
Hilo ni kosa ambalo huyo msichana alikuwa akilifanya kabla hajajielewa, lakini baadae ndo kaamua kubadilika na kuachana nalo....kwahiyo huyo jamaa inabidi aache ya kale yapite na aishi maisha mapya na huyo mke wake, na kuna uwezekano huyo mwanamke ndo akawa ni chaguo lake zuri la maisha.
 
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
JAZA UJAZWE....!+#VitaDhidiYaMadawaYaKulevyaHaijawahiKumwachaMtuSalama!!
 
alijuaje km amevurugwa ziro?au alichovya!abaki nae tu maana hata wale aliowaharibu yeye wataolewa siku 1
 
Jamaa alinunua voda akajaziwa na tigo.mwambie aendelee tuu kutumia mtandao.kama hautumii mtandao Wa tigo amuache huyo mwanamke maana lazima atachepuka tigo ikiwasha
 
Auendeleze mchezo wa 0655 la sivyo bibie atatafuta wa kumsodomize huko nje
 
wa kwako wa mrina bar vipi,,,,, ulishatest?......
 
Mkuu kuna msemo heri ukosee kujenga nyumba kuliko ukose kuoa. Huo msemo una maana kubwa sana. Kosa lisha fanyika kiapo asha kula hana budi kuendelea na ndoa yake koz makosa yapo na yana fanyika. Akomae tu ila iwe funzo kwa wengine tujifunze kutokana na makosa
 
Kakuta Madobi washapiga pasi marinda...
 
Hivi unakubali vipi kuoa bila kutest ubora wa bidhaa?
 
Duuuh .....hz ndoa za mwendokas hz....anyway... If you don't fear sinning better you shake before use[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…