Jamaa anamuoa mchumba wa rafiki yake kama mke wa pili

Mpaka wamepanga na process zote za ndoa ni wamejipanga,ni bora ingekuwa kuchepuka tungesema kateleza,yaani hapo kikubwa ni kujitahidi kumrudisha mdogo wenu kwenye hali ya kawaida na wala sishauri urafiki wenu mlotengeneza miaka kumi ufe eti kisa mwanamke,
Kwangu mimi japo ni mwanamke ila kwa roho ngumu nilokuwa nayo yaani siku mbili naendelea na shughuli zangu kama hamna kilichotokea sijui nyie mnahandle vipi situation kama hizo
NOTE
Jamaa yangu umeumia lakini emu kuwa mwanaume ivi nyote mkiwa frustrated unadhani nani atamsaidia mhusika?wake up my dear!
 
Usiombe yakukute
 
Usifanye hicho kitu unachotaka kukifanya,kama angekuwa anampenda asingefikia kote huko au we ulitaka ajiteteeje emu kuwa serious acheni mawazo ya kutorosha mtu mzima na akili zako,hivi umeanza kuyumba mapema hivi na huyo mdogo wako utamsaidiaje?
 
Kosa analo huyo mnayemuita dogo.
Kwann kaleta malaya kwenye urafiki wenu ulioshibana?

Malaya katambulisha mtu nyumbani halafu anasema analazimishwa kuolewa naye😂.

Ilikuaje mpaka akampeleka kwao?

Sikia, HUYO MALAYA ATAWAUA.
AMESHAUA URAFIKI WENU, SASA BADO ROHO ZENU.

NA NINAVYOKUONA NA AKILI ZAKO MGANDO ZA KUMTOROSHA KAMA HAMTOUANA BASI MTAPAKANA MAFUTA WE SUBIRI TU.
 
"Kisicho riziki hakiliki" na haikuwa bahati yake asijaribu kulazimisha na asiwahi kuoa maana atafanya UCHAGUZI usio sahihi kutokana na uchungu alionao. I'm talking from experience.
 
Hiz siku mbili tatu kuna neno nikiliona I feel so bad kiukweli
 

Inasikitisha na kuumiza sana kwa mtu uliyempenda kwa dhati anapokukatili kiasi alichofanyiwa huyo mdogo wako.
Yote kwa yote amshukuru Mwenyezi Mungu kwa yote yaliyotokea na asikurupuke kutafuta mahusiano mapya katika kipindi hiki.

Hicho unachokiwaza hakipo sahihi, msilazimishe upendo, yeye sio mtoto mdogo wa kufanyiwa maamuzi, maamuzi kayafanya mwenyewe kutafuta fungu analoliona kwasasa ni sahihi kwake, muacheni aolewe na ampendaye kwasasa, muacheni aende. Atakuja kushtuka baadaye kuwa fungu alilolichagua ni fungu la kukosa.

Kila la kheri kwa dogo, asivunjike moyo wenye upendo wa dhati wapo, atapata atakayemvumilia na kumpenda kwa dhati.

Dogo akate kabisa mawasiliano aendelee na mambo yake.
 
Au brother atakuwa katumia ndumba nn maana haingii akilini
 
Muongo kakubali kuolewa huyo anawachosha tuuu!!karne hii hamna hizooo!tena mkristo mwenziwe kabisaa!mzazi gani atakubali mwanawe abadili dini kirahisi hvyooo!!!wakati ana mchumba tayari na anataraji kumuoa ila huyo nae mpk ajenge ndo aoe!
 
Asehhh!pole yake!huyo Dada ndo shida ana tamaa pia!Mungu atamlipa lakini!nashauri asimuoe wala asimtoroshe atamtesa tu na wala hampendi mshikaji wako huyo alotendwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…