Jamaa kaua mtoto baada ya kujua sio wake

Jamaa kaua mtoto baada ya kujua sio wake

Joao de Matos

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2022
Posts
334
Reaction score
268
Mwanaume mmoja kachukua hatua ya kuua mtoto baada ya kugundua kuwa mtoto sio wake, baada ya kuchukua Simu ya mkewe na kuona anawasiliana na Baba wa mtoto.

Nafikili Jamaa alikuwa anatoa na huduma kabisa za mtoto yani alimchulia mtoto ni wake.

Jamaa kaua mtoto lakini Sasa anashikiliwa na Jeshi la Polisi, na wanafamilia upande wa kike wanasubiri sheria ichukue mkondo.


NOTE: HIVI NYIE WANAWAKE KWANINI UMBAMBIKIZIE MWANAUME MTOTO AMBAYE SIO WAKE.
 
Hata simba dume yakichukua over the park huua watoto walio wakuta ili waanze kuzaa upya na majike watoto wao.

Si ungi mkono kuua mtoto.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom