Jamaa kaua mtoto baada ya kujua sio wake

wew unaongea tuu unadhani maisha ni mepesi kwa kila mtu wazazi wengine wanashindwa hata kununua sukari japo siafiki alichokifanya ila inaumaa sana kulea damu isiyikuwa yako huku ukidanganywa ni yako
Kuua Ni kosa, japo kulea mtoto ambao sio wako na kutoka huduma roho inauma , ila Ni kweli uwezi jua maisha ya jamaa utakuta Ni muangaikaji wa kuokota vielfu 2000 mpaka 3000 per day na ukutute alikuwa anajinyima Sana kumlea dogo, japo kuua ni kosa , maaisha tumetofautiana.
 
yaah mkuu kila mtu ana reaction yake kwenye jambo fulani mfano ile kesi ya said au jamaa aliemchoma moto mkewe ni namna tu wale watu walishindwa kudhibiti maumivu ya moyo yasizidi ufahamu wao wa kufanya maamuzi.... mimi kuna mzee namjua aliambiwa watoto sio wake siku wanafanya kipaimara baba yao alikuja yule mzee hadi leo ni nusu chizi ila uzuri watoto wanamtambua yeye kama baba yao
 
Yani siku hizi watu wanavyoongelea kuua, wanajifanya wanatania lakini ndo you're speaking these things into existence....acheni matani ya kuuana bwana. Ukishajua jitu la hovyo, hesabu hasara, liache!!!!
 
Hivihivi tuu uliache liharibu muelekeo wangu hafu niliache bure kabsaa?
 
binafsi ishanikumba hio.. Nilikua naona wanaopiga au kuua sababu ya mapenzi ni mafala na maboya lakini lilipo nifika acha bana nilifanya kitu ambacho najutia mpaka leo maana kiukweli ule ujasiri sijui niliutoa wapi...tuache bana mi najijutia zangu tuu hapa pengine ningekua magereza
 
Wanao tetea ni ujinga hawajui tumeumbiwa mapenzi ni ya kulinda sana kwa wenye kumju Mungu
 
Back
Top Bottom