Jamaa kaua mtoto baada ya kujua sio wake

Jamaa kaua mtoto baada ya kujua sio wake

We una akili[emoji122][emoji122]
😂😂😂😂😂😂😂😂🤣 Dadeki
Huyu Dada niwasiwasi nae huyo mmeo utakuta analea watoto sio wake, na mpaka mmeo huko anakazi utakutwa unangwa hata nchi ya ndoa wewe🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😀😃😄😃😄
 
Sasa vipi kuhusu mama huyo aliyezaa nae yupo katika Hali gani mkuu?
Mama anaujua ukweli so kitakachomuumiza ni maamuzi ya mumewe maana amempoteza chanzo ni yeye angesema ukweli ingesaidia au hata angetoroka tu amuache
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787] Dadeki
Huyu Dada niwasiwasi nae huyo mmeo utakuta analea watoto sio wake, na mpaka mmeo huko anakazi utakutwa unangwa hata nchi ya ndoa wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji3][emoji2][emoji1][emoji2][emoji1]
Umeandika vitu gani?
 
Ungemrudishia muda aloupoteza?
Ujinga sasa atapoteza muda zaidi kuliko huo alipoteza kwa kunyongwa au kufungwa maisha

Kaua sasa muda ulioko mbele yake mbaya ni mkubwa kuliko aliopoteza

Hana akili angemwacha tu
 
Omba yasikukute .kuna jamaa alichinja mke na mtoto wake kule zinga bagamoyo mpaka Sasa yupo jela.
Mimi nilipewa mimba bandia nikalea mpaka anasema anakuja kujifungua kumbe hamna kitu.siku nilipokuja kugundua nili shukuru Mungu na maisha yanaendelea.ila ningechukulia hasira Sasa hivi ningekua jela
 
Back
Top Bottom