YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Mwenzio anaenda kunyongwa huyo.au kifungo cha maishaWanaume wenzangu watoto huwa hawana hatia napendekeza mama zao ndo wauwawe
Mwanamke ukimchoka achana naye peacefully ku save maisha yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenzio anaenda kunyongwa huyo.au kifungo cha maishaWanaume wenzangu watoto huwa hawana hatia napendekeza mama zao ndo wauwawe
Hatuwezi kukuacha Kizembe itakuwa dharau lazima tukuwaishe kwa sir GodYani siku hizi watu wanavyoongelea kuua, wanajifanya wanatania lakini ndo you're speaking these things into existence....acheni matani ya kuuana bwana. Ukishajua jitu la hovyo, hesabu hasara, liache!!!!
Hivi mnaposema kiumbe kisichokua na hatua mnamanisha nini,haramu ni hatamu tu.Mbona wewe unahukumiwa kwa fhambi za afamu na hawa kwa nini Mungu asingemalizana nao kisha binadamu wengine wakae kwa amani.Jamaa angefanya fair decision tu ya kuachana na mama lakini sio kuuwa na mbaya zaidi unauwa kiumbe kisichokuwa na hatia bora hata angeuwa mama hapo kidogo ungesema kauwa adui yake mara baada ya kugundua
Just kill herMimi Mpaka Leo bado nafikiria cha Kumfanya huyo Ambae atajaribu Kunibambikizia mtoto.
Mungu alikuwa wapi mpaka jamaa anasingiziwa mtoto asiye wake?Wewe damu ya mtu haipotei...Mungu atakuumbua tu
sio aibu tu kwasababu kasababishia huyo mwanaume apelekwe jela na kifo cha mwanayeIla Ni aibu kwa huyo Dada coz anaonekana sio mwaminifu na kumsakazia mwezie mtoto sio wake.
Nawe nenda kaue halafu ukashikishwe ukuta.Unaongea tu kwa kuwa hajakukuta.
Hapo ameweka pain kwa mama na baba wa mtoto.badala ya kudeal na mwenye kosa anaenda kuua kiumbe hata ambacho hakijui sababu,
Usitetee ujinga hakuna duka la uhai.Wewe usiandike kwa mhemko hujui maana ya mtu kujitolea kwa moyo... Mfano hata Yesu alisema yule mjane aliyetoa kidogo ndo katoa zaidi ya wote inajua kwann??
Ni hivi kilichosababisha jamaa kuchukua hatua hiyo ni usaliti... usaliti unauma kwa mtu uliyempenda kweli kweli na kumkabidhi maisha yako... mtoto ni damu na usikute mawasiliano aliyoyakuta yanahusisha na muendelezo wa mahusiano ya kimapenzi pia yenye dhihaka juu yake hivyo mapokeo ya kihisia yanaweza yakapelekea ya kuchanganyikiwa kiakili na kufanya tukio la kiwendawazimu.
si halalishi ukatili na uaji aliyofanya lakini naelewa hio hatua na ndo mana mpaka leo mtu mwenye stress zinazohusiana na mapenzi namuangalia kwa jicho la ziada na na huruma saana.
mwisho wanawake kwa wanaume ndoa au unyumba sio lazima unaweza ukamua kua malaya na wapenzi wako wakajua na kukubaliana na wewe kuliko kujikomiti kwa mtu wakati unamambo mengi
Nakubali tukio linaumiza kweli lakini kuua sio suluhisho maana sasa jamaa anakwenda jela kushikishwa ukuta huku mkewe kamuacha uraiani na anageuzwa kama samaki.wew unaongea tuu unadhani maisha ni mepesi kwa kila mtu wazazi wengine wanashindwa hata kununua sukari japo siafiki alichokifanya ila inaumaa sana kulea damu isiyikuwa yako huku ukidanganywa ni yako
Ukielewa kuwa kila mtu anauwezo na kipimo chake cha kuhandle stress itakuwa rahisi sana kujua why watu huwa wanafika maamuzi ya ovyooo.. tatizo moja lakini maamuzi kila mtu ana yake its human nature japo maamuzi mengine yanaumiza sana watu.Usitetee ujinga hakuna duka la uhai.
Unadhani yeye ndio wa kwanza kusalitiwa?
Watu aina yako ndio mnaotakiwa mfanye ujinga wenu mje jela tuwashikishe ukuta.
Kwani angemuacha mwanamke na mtoto wake na kwenda zake angepungukiwa kitu gani?
Leo ameua mtoto naye atahukumiwa na kwenda kuolewa jela huku nyuma mkewe aliyemuonea wivu watu wana mgeuza kama samaki.
Acheni kujifanya mnajua kupenda kuliko wote duniani.
Mtafia jela kizembe sana.
yaah mkuu case kama hizi zipo nyingi mimi nishawahi shuhudia tena watoto washakua wakubwa mzee ndo anajua watatu kati ya wanne sio wake... hakuua ila alikuwa nusu chizi yani yes noNakubali tukio linaumiza kweli lakini kuua sio suluhisho maana sasa jamaa anakwenda jela kushikishwa ukuta huku mkewe kamuacha uraiani na anageuzwa kama samaki.
Hasira hasara kwani angemuacha mwanamke na mtoto angepungukiwa kitu gani?
Jifunzeni vijana msijifanye mnajua kupenda sana,mtaolewa jela kizembe sana.
Mbona unahukumu,tena kwa taarifa yako kesi za hivyo zinachukuliwa kama kesi za kuua pasipo kukusudia wengi wanawekwa mahabusi miezi 3-6 wanatolewa.Kibaya zaidi hafikirii nini hatima ya maamuzi yake huko mbele,haya sasa anaenda kula kifungo,je amefaidika na nini,huenda alikuwa anategemewa na ndugu zake ina maana amewaangusha!!
Guys kabla hatujafanya stupid decision tuwe tunafikiria Kwanza!
Atafungwa labda akutane na Hakimu asiye kuwa na akili-hapo hamna anayefungwa.Ujinga sasa atapoteza muda zaidi kuliko huo alipoteza kwa kunyongwa au kufungwa maisha
Kaua sasa muda ulioko mbele yake mbaya ni mkubwa kuliko aliopoteza
Hana akili angemwacha tu
Hata endapo akitolewa kuna kitu kiimani kinaitwa laana ya umwagaji damu (uuaji) inatandamana naye maisha yake yote.Mbona unahukumu,tena kwa taarifa yako kesi za hivyo zinachukuliwa kama kesi za kuua pasipo kukusudia wengi wanawekwa mahabusi miezi 3-6 wanatolewa.