Jamaa kaua mtoto baada ya kujua sio wake

Jamaa kaua mtoto baada ya kujua sio wake

Mtoto hana hatia.
Ila wote hao ni wameshiriki
mauaji.
Mama muuaji
Baba muuaji.
Mungu atusaidie kizazi
hiki.
 
wew unaongea tuu unadhani maisha ni mepesi kwa kila mtu wazazi wengine wanashindwa hata kununua sukari japo siafiki alichokifanya ila inaumaa sana kulea damu isiyikuwa yako huku ukidanganywa ni yako
Mara Mia mwanamke angesema ukweli
Ili jamaa aamue kulea au kutolea
 
binafsi ishanikumba hio.. Nilikua naona wanaopiga au kuua sababu ya mapenzi ni mafala na maboya lakini lilipo nifika acha bana nilifanya kitu ambacho najutia mpaka leo maana kiukweli ule ujasiri sijui niliutoa wapi...tuache bana mi najijutia zangu tuu hapa pengine ningekua magereza
Unamaanisha ujasiri huo wa kuua ila ukanusurika na kifungo gerezani uliutoa wapi la sivyo usingenusurika kushuhudiwa ukiua ungekua jela leo hii au?
 
Hasira kuliliwa usiku kucha na toto lililotoka kwenye mauno ya mchepuko wa mke wako
Wewe ni shetani .samahani kukuita hivyo .mtoto ana miaka 1 au 2 anajuwa nini huku duniani? Jitafakari brother
 
Na hiyo ndo sababu wanaume wengi wanakataa watoto ila wale haki za binadamu hawaelewi hlo
 
Huyo jamaa hana tofauti na Simba dume , nikisema huyo jamaa ni binadamu mwenye tabia ya simba sijakosea.
 
Mwanaume mmoja kachukua hatua ya kuua mtoto baada ya kugundua kuwa mtoto sio wake, baada ya kuchukua Simu ya mkewe na kuona anawasiliana na Baba wa mtoto.

Nafikili Jamaa alikuwa anatoa na huduma kabisa za mtoto yani alimchulia mtoto ni wake.

Jamaa kaua mtoto lakini Sasa anashikiliwa na Jeshi la Polisi, na wanafamilia upande wa kike wanasubiri sheria ichukue mkondo.

NOTE: HIVI NYIE WANAWAKE KWANINI UMBAMBIKIZIE MWANAUME MTOTO AMBAYE SIO WAKE.
Kwa biologia ilivyo inabidi mwanaume uzae watoto wengi sana Ili pamoja na kudanganywa walau upate na WA kwako humo,
Tuna tabu sanaa
 
Mwanaume mmoja kachukua hatua ya kuua mtoto baada ya kugundua kuwa mtoto sio wake, baada ya kuchukua Simu ya mkewe na kuona anawasiliana na Baba wa mtoto.

Nafikili Jamaa alikuwa anatoa na huduma kabisa za mtoto yani alimchulia mtoto ni wake.

Jamaa kaua mtoto lakini Sasa anashikiliwa na Jeshi la Polisi, na wanafamilia upande wa kike wanasubiri sheria ichukue mkondo.

NOTE: HIVI NYIE WANAWAKE KWANINI UMBAMBIKIZIE MWANAUME MTOTO AMBAYE SIO WAKE.

Safi kabisa....jamaa kamaliza machungu yake na kamtia machumngu mwanamke
 
Japo jamaa kazingua sana ila Wanawake nao wapunguze upumbavu
Jamaa hajazingua kafanya sahihi kabisa...piga pale mtu anapojali. Mwanamke upendo wake wa kwanza upo kwa mtoto sasa jamaa kapiga pale pale panapo uma most
 
Back
Top Bottom