Jamaa kaua mtoto baada ya kujua sio wake

Jamaa kaua mtoto baada ya kujua sio wake

Jamaa hajazingua kafanya sahihi kabisa...piga pale mtu anapojali. Mwanamke upendo wake wa kwanza upo kwa mtoto sasa jamaa kapiga pale pale panapo uma most
Hivi upo serious kabisa mtoto ana kosa gani hadi auliwe? Jamaa angedili na mama tu mtoto hahusiki.
 
Jamaa ni mpumbavu yeye ndo kapoteza hapo mke wake ataenda olewa na huyo jamaa aliyezaa nae.
Then maisha yanaendelea huku jamaa yeye akiishi jela kwa kodi zetu. Wanawake wanamapungufu 350 tegemea chochote,siku zote kama we we sio maturity au huna akili usioe.
Somo la mapenzi lafaa lifundishwe mashuleni.
Kama huna akili achana na mambo ya kuoa.
 
Kwa hili haupo sawa rafiki.
Eeh kwani mie ndio nimeua rafiki? Mie najaribu kupata sababu kwa nini huyo mwanaume kaamua kumuua mtoto. Yaani kwa mawazo ya haraka haraka hii inatwa two in one. Anawapa machungu baba na mama. Na definately mama yoyote yule always yupo prepared kufa yeye na sio mtoto. Trust me utaelewa hili tukishacheza harusi yako na shem akiwa kasha nyunyuzia mbegu 🤣🤣🤣
Gud morning
 
TUNA KAWAIDA YA KULAUMU MATOKEO, NA KUTETEA CHANZO CHA MATOKEO.
 
Sasa hivi duniani watu wanauana Sana kwa usaliti wa mapenzi kwenye uhusiano.
 
Wadada mnapoamua kuolewa hakikisheni mnayaacha makandokando, mnapojiona hampo tayari kwa ndoa bakini single itaepusha mengi.
 
Eeh kwani mie ndio nimeua rafiki? Mie najaribu kupata sababu kwa nini huyo mwanaume kaamua kumuua mtoto. Yaani kwa mawazo ya haraka haraka hii inatwa two in one. Anawapa machungu baba na mama. Na definately mama yoyote yule always yupo prepared kufa yeye na sio mtoto. Trust me utaelewa hili tukishacheza harusi yako na shem akiwa kasha nyunyuzia mbegu 🤣🤣🤣
Gud morning
Huyo jamaa ni fala.
 
Back
Top Bottom