Jamaa kaua mtoto baada ya kujua sio wake

Mahakimu na wanasheria wa JF nasoma comments tu.

Pumzika kwa amani mtoto
 
Mmmh hawa wadada nao mengine yaacheni mkishaolewa.

Huyo mtoto hana kosa, wangemalizana wenyewe tu
 
Ni wanaume wa siku hizi Tu,zamani wanaume ambao hawakua na uwezo wa kuzalisha hawakuwa na hiyana ndio maana tuliambiwa kitanda hakizai haramu.Siku hizi wanaume wengi wako na sperm ambazo hazina nguvu,mnakaa kwenye ndoa miaka hata kumi hakuna kichefuchefu wala hamu ya udongo.Acheni wake zenu wazae
 
Kuuana hakutaisha leo wala kesho, leo hii mnamshambulia huyu jamaa halafu kesho na keshokutwa jitu la jf linaua mtu tena kisa mapenzi.

Ndio maana mi nilishaacha kumhudumia mwanamke ambae hanipi mbunye.
 
Ni wanaume wa siku hizi Tu,zamani wanaume ambao hawakua na uwezo wa kuzalisha hawakuwa na hiyana ndio maana tuliambiwa kitanda hakizai haramu.Siku hizi wanaume wengi wako na sperm ambazo hazina nguvu,mnakaa kwenye ndoa miaka hata kumi hakuna kichefuchefu wala hamu ya udongo.Acheni wake zenu wazae
Sio kua zamani hakukua na hizi mambo za sasa ndgu yangu, saivi ni vile watu tumekua wengi na hii mitandao inachangia watu kupata habari chapchap.
 
Sasa huyo mtoto ana kosa gani? Kwnn hajamuua Mwanamke?
 
Jamaa jinga sana matumizi gani kwa huyo mtoto mdogo yamfanye aumie hadi kumuua? Yaani kumnunulia pampasi, uji, sukari ndio aue?

Huyo jamaa inatakiwa achinjwe kwa msumeno butu.
Wacha aende jela akainamishwe.
KORO KABUSA
 
Wakati mwingine muwage mnatakari hizo shibe mzonazo c wote wanazo Yen unapopoma tu .unajua izo sukari na chumvi alikuwa anazipataje na unayajua maumivu ya kuwekeza mda akili pesa saikolojia juu ya jambo kama hilo?
 
Acha mkuu
Kabla ya kuzaliwa unakuta jamaa ametoboka sana anzia gharama za kujifungua, matibabu, Bado kero za kachanga kulia usiku kucha

Hapo kwa gharama za kujifungua na mimba si chini ya laki 3 (kimaskini )
 
Wakati mwingine muwage mnatakari hizo shibe mzonazo c wote wanazo Yen unapopoma tu .unajua izo sukari na chumvi alikuwa anazipataje na unayajua maumivu ya kuwekeza mda akili pesa saikolojia juu ya jambo kama hilo?
Shabikia ujinga na ww nenda kaue kisha ukamatwe uoneshwe kuzimu kulipo.
 
Back
Top Bottom