Joao de Matos
JF-Expert Member
- Jun 16, 2022
- 334
- 268
Ila Ni aibu kwa huyo Dada coz anaonekana sio mwaminifu na kumsakazia mwezie mtoto sio wake.Dah so sad [emoji24]
ila ni 50 kwa 50 wote wana makosa
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Jamaa achukuliwe hatua za kisheria haraka iwezekanavyo
Shangaa na wewe, jamaa ukute halina akili sawa sawa. Sasa wacha wahuni wakajisevie huko jela hadi akili imkae sawa.badala ya kudeal na mwenye kosa anaenda kuua kiumbe hata ambacho hakijui sababu,
hakupaswa kuua yeyote alitakiwa aendee hata bar akatulieIla huyo mwanaume alipaswa kumuua huyo mwanamke.
Sasa ndio aue mtoto ambae hana kosa? Jamaa kazingua sanawew unaongea tuu unadhani maisha ni mepesi kwa kila mtu wazazi wengine wanashindwa hata kununua sukari japo siafiki alichokifanya ila inaumaa sana kulea damu isiyikuwa yako huku ukidanganywa ni yako
Imaginebadala ya kudeal na mwenye kosa anaenda kuua kiumbe hata ambacho hakijui sababu,