Jamaa kaua mtoto baada ya kujua sio wake

Dah ila aiseee. Sasa alishindwa nini kujizuia kumdhuru mtoto hata kama hasira zilimshika mtoto hana makosa yeye hakuamua upumbavu wa mama yake.

Hapo alitakiwa amchape makofi huyo mama mtu amuonyeshe baba mtu halafu unakwenda kuwashitaki mahakamani kwa kukutumia kujinufaisha wao wawili wamlipe kila senti.


Siku serikali kupitia ustawi wa jamii wakiweka sheria kuwa ikitokea binti akabambikia mwanaume ujauzito na mtoto ikagundulika then mwanamke atakuwa na kesi ya kujibu mahakamani ambayo ina adhabu ya kifungo miezi sita pamoja na fine na kurudisha gharama zote alizotoa muhusika ndipo huu upuuzi utaisha.

Kwa sasa wanajua jamii inawakalia kimya. Na shida pale wizara ya ustawi wajamii kumekaa watu wazembe sana ndio maana jamii ina mambo ya ajabu sana miaka hii.
 
Unaiamrisha mahakama sio ,?
Inawezekana aliua bila kukusudia au dishi lilikuwa limeyumba kidogo.
Hajui maumivu ya kuishi na mtu anaekuchezea akili wakati wewe unamchukulia serious.
 
Utasema tiyari keshampima DNA anaweza kuwa kamuua Mwanae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…