Jamaa yangu ananitesa kisa alinitafutia kazi, ni haki?

Hapo Sasa Ili kutimiza wajibu na haki yako,inabidi ujifunge kibwebwe maana unaenda kupambana na maboss zako!

Huo ubavu unao?

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Nadhani uzi uishie hapa msimamo ndio swala la msingi
 
Unakubali ampe shukrani ya elf hamsini kwa kazi ya millions 30 kwa mwaka?

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Haitokua mwisho wa msaada Wala kusaidiana, lakini sio ageuke kua kupe Kwa mtu aliemsaidia. Kama atakua na matatizo siriously basi Jamaa amsaidia lkn sio ujinga ujinga wake kisa kamsaidia jamaa.
 
Hapo Sasa Ili kutimiza wajibu na haki yako,inabidi ujifunge kibwebwe maana unaenda kupambana na maboss zako!

Huo ubavu unao?

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Pia hakuna boss anaetaka kumfukuza mfanyakazi anaemletea faida. Ndio maana nikasema kama Jamaa anayabeba majukumu yake vizuri basi aondoe hofu amwambie ukweli jamaa. Lakini kama mpaka kwenye kazi haziwezi basi acha aendelee kutumia.
 
shida ni kwamba mwamba anataka kumfanya jamaa kiraka kisa kampa conneee
 
Siku moja umnunulie bia za kutosha ili Kila mara umkumbushie kwamba bila wewe, yeye asingepata bia za kutosha itabidi na yeye akushukuru pia
 
Ila sio kila mkitoka uwe unamaliza shida zake na huyo aliekutoa sio kujitapa kila mahali japo tunatofautiana ila kila mtu kujua umemsaidia fulani sidhani kama ni kitu poa bora upige kimya akikusahau unakausha
 
Siku moja umnunulie bia za kutosha ili Kila mara umkumbushie kwamba bila wewe, yeye asingepata bia za kutosha itabidi na yeye akushukuru pia
Ah nikajua amnunulie beer nyingi akilewa akamfi&e kumbe kumkumbusha na yeye ashukuru dah
 
Hata mimi nimefikilia hiki kitu, hapo ungempa 500000/= unaachana nae, siku wamekutimua hapo uanze kumsumbua akutafutie kazi
 
Mimi tu ndo anataka nimnunulie bia. Wote tuna mshahara ila yeye anataka na shida zake Mimi nimtatulie.

Mimi naona imekuwa kama manyanyaso sasa.

Nifanyaje?
Sio haki ushaur anza kumkataa kisiasa mkiwa mnatoka out wewe usitoke mwambie kaka sipo freshi kimwili na kifedha now kuna majukumu nimejipa kuna deni nalilipa nilikopa kwa ajili ya kumkwamua mdogo wangu yupo mkoa anasoma na wazee walibanana naomba nitulie tu hadi takapomaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…