RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Hujui taratibu zakumfukuza kazi mtu wewe huko private, wakikuambia una underperform haitakiwa ufukuzwe kazi, inatakiwa upewe training, Kisha baada ya training unajaza training report kuonyesha umefundishwa Kisha umeelewa na unasign, Kisha baada yahapo unapewa target zakufikiwa Kila mwezi, Kisha unapimwa Kwa miezi isiyopungua sita. Kisha baada yahapo kama upo underpormance unapewa evaluation letter Kwa robo, na nusu ya mwaka kuonyesha uboreshe wapi kwenye mapungufu. Then wanakufanyia assessment Tena Kwa miezi mingine sita.kama ni private company unatimuliwa vizuri tu, wanakuambia una under peform, kisha wanakuondoa.
Bila kufanya kosa la kinidhamu ningumu kufukuzwa kazi, labda usitishiwe mkataba baada ya mkataba wako wa awali kuwa umeiisha. Lakini pia dalili huanza kuziona mapema.
Mwajiri akikufukiza kazi kiholela anaweza kukulipa pesa zote ulizostahili kulipwa ndani ya mkataba wako, kama muajiriwa unajua haki na wajibu wako.
Pia hakuna muajiri ambae anataka kufukuza watu kazi nakuajiri wapya Kila mara.