Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndo hvo ss unafanyeje kujitenga na mtu kama huyo, akiniomba hela nafungua bible namsomea kuhusu fungu la kumi na malimbuko, nampa ufafanuzi kwamba tunatakiwa kuwasaidia wenye uhitaji na sio ambao hawana, namwambia wewe una kazi kwa hyo unatakiwa kusaidia na sio kusaidiwa, namtaka tuende kwenye kituo cha watoto yatima kutoa msaada mshahara ukitoka, hajakaa sawa namwambia hata pombe, soda, juice etc anatakiwa kuacha awe anakunywa maji tu, mbona ataniona kama nimechanganyikiwa na atanikimbia mwenyewe.
we nae ni fala tu mshahara wote huu unalia lia nini kumnunulia mtu tubia na tunyama?Kuna siku nilimpa 30 akasema "kazi nmekuconnect ya mil 30 kwa mwaka Wewe unanipa afu30?"
Wasalaam,
Nilikuwa down bad, yaani nimepigika kinoma, yaani apeche alolo, yaani mbombo ngafu, yaani moja haikai mbili haikai, Yani nmechina mweupe pee. Kula ya mashaka, kulala kama ndege. Ila Kuna huyu jamaa angu tulisoma ote Olevel akaniconnect kwenye ajira inalipa fresh sio haba.
Sasa tatizo, imekuwa kama kero, Kila siku anajimwambafy kuwa bila yeye nsingetoboa anasema natakiwa niwe namshukuru kila mshahara ukitoka. Tukienda out Kila siku Mimi tu ndo anataka nimnunulie bia. Wote tuna mshahara ila yeye anataka na shida zake Mimi nimtatulie.
Mimi naona imekuwa kama manyanyaso sasa.
Nifanyaje?
Kuna siku nilimpa 30 akasema "kazi nmekuconnect ya mil 30 kwa mwaka Wewe unanipa afu30?"
🤣🤣🤣Ye anataka Kila mwezi Sasa nimkumbuke...Kila tarehe za mshahara anasema "unaona dogo, bila mim ungekuwa nyumban saiv unaokota mapera"
huyo mwamba naye sio, hata kama amemsaidia ndo kila mshahara anataka maokoto? khaaa, jamaa wengine jau tu.Kwan uongo? Bila yeye ungekua uko kwenu unakula machungwa, km vipi acha hapo kazi afu uone km utatoboa. Ndo akili itakukaaa.
Hongera mil 30 per annual. Wengine tuna earn 12 mil per annual, ukizingatia mtu una direct dependants 7.Kuna siku nilimpa 30 akasema "kazi nmekuconnect ya mil 30 kwa mwaka Wewe unanipa afu30?"
Umeoa?Asante...nifanyaje?
SijaoaUmeoa?
Ntafanya iviHongera mil 30 per annual. Wengine tuna earn 12 mil per annual, ukizingatia mtu una direct dependants 7.
Da kazi kweli kweli/ job true true Mjanja M1
Cha kufanya kama ulivyosema kuwa ni jamaa Yako, lakini tunajua huyo hafai hata kuwa rafiki. Chukua mil 1 iweke kwenye bahasha kishi mfuate kwake, piga naye stori za kukumbushia alipokutoa kipindi unapitia wakati mgumu, halafu mkabidhi hiyo bahasha na uwambie kabisa kuwa hiyo ni shukrani.
Kingine mkuu kama unaweza anza taratibu kumukwepa kwenye kujumuika naye, ila usimteme kabia kwani wahenga walisema usitupe jongoo na mti wake Wala usijaribu kunyea kambi.
Good luckNtafanya ivi
Ukioa mke atakusaidia kukutenga na uyo unaemuita mshikaji wako😂Sijaoa
Ukioa mke atakusaidia kukutenga na uyo unaemuita mshikaji wako😂Sijaoa
Ampe kila anapotaka, km hataki aache kazi ili awe huru.huyo mwamba naye sio, hata kama amemsaidia ndo kila mshahara anataka maokoto? khaaa, jamaa wengine jau tu.
Kuna jamaa ni km ndugu alinisaidia kipindi changamoto.Dah uyu jamaa anataka niwe namuabudu sasa
Sasa bro kazi ya milioni 30 kwa mwaka unalalamika jamaa kuwa hivyo?Kuna siku nilimpa 30 akasema "kazi nmekuconnect ya mil 30 kwa mwaka Wewe unanipa afu30?"
Hujui cha kufanya kweli? Hayo maneno yanaanzia hapo unapokutana nae kupiga ulabu.Nifanyaje?