Jamaa yangu ananitesa kisa alinitafutia kazi, ni haki?

Angalia kama anaweza kuku snich ukatimuliwa kazi nenda nae kwa akili, kua bize na mambo yako, sio lazima kulewa wote unaweza hata kuacha kwenda huko bar.

Pili akipiga vizinga mpe kimoja viwili kataa, alaf endelea kupunguza hadi inafika unatoa kimoja kati ya vitano atachoka mwenyewe.

Kama hawezi kuku snich kazini kaa nae mchane ukweli kama ulivoandika hapa, kama ni rafiki atakuelewa ila kama sio rafiki atanuna na mtaendelea kuishi kinafki.

Kusaidiana iwe kwenye matatizo ambayo hata wewe unaona ipo nje ya uwezo, sio mke wake anataka gauni hela utoe wewe.
 
Go talk to him straight as men, Mwambie "Bro nashukuru kwa kunipa hii connection ya kazi, Sina cha kukulipa zaidi ya kusema Asante, Ukikwama popote nifuate nikusaidie kama mimi nifanyapo pia nikikwama ila ikiwa li ndani ya uwezo wa mmoja wetu....

Binafsi sipendezwi na tabia ya wewe kujaribu kutaka kuni-control kwa sababu ya hii connection uliyonipa, I respect return back ila kuwa muwazi unataka nikupe kiasi gani ili uache ku-behave kama wewe ndo sababu ya mimi kuishi katika hii kazi " Then ukimuambia hivyo elewa kwamba hatopendezwa kwa kuwa binadamu hatupendi ukweli atakujengea chuki sasa hapo ndo utumie kama advantage ya kumkataa... Do your things mwenyewe na uache ukaribu nae kabisa
 
Mbona wengine michongo kama hiyo mshahara wa Kwanza anachukuwa aliyedalalia mchakato?

Kwa kifupi wewe ni mduwanzi Fulani tu.

Kama unalipwa kweli 2.5 unashindwa Vipi kumpa jiwe tano kwenye bahasha na kumwambia Thank you

Mafala mafala mpo wengi Sana, halafu ajabu ndio mnaotobowa wakati watu wenye akili wanaendelea kutubu tu.
Ko Kila mwezi niwe namgea jiwe tano?
 
Ko Kila mwezi niwe namgea jiwe tano?
Kila mwezi Vipi punguza utoto.

Thanks unampa mtu mara moja imetoka, sidhani mtu mwenye akili timamu eti akutegemee wewe kisa amekuconnect kazi.

Kitendo cha wewe kumpa Thanks 30,000/= tayari inaonesha wewe ni mtu wa hovyo tu.

Hiyo amount tunapeana hapa JF bila kujuwana.
 
Mbona wengine michongo kama hiyo mshahara wa Kwanza anachukuwa aliyedalalia mchakato?

Kwa kifupi wewe ni mduwanzi Fulani tu.

Kama unalipwa kweli 2.5 unashindwa Vipi kumpa jiwe tano kwenye bahasha na kumwambia Thank you

Mafala mafala mpo wengi Sana, halafu ajabu ndio mnaotobowa wakati watu wenye akili wanaendelea kutubu tu.
Kama anlipwa hio Kam gross still take home yake haizidi 1.7M nakama anamkopo wa loan board ndio anachukua kabisa kwenye 1.5M.

Suala lamsingi aangalie namna atakavyomlinda, nahao wanaodai mshahara wa mwezi mzima anakua sio jamaa yako, inakua nimakubaliano kabisa kabla yamtu hajaingia Job. Sasa kama Jamaa nae anafanya kazi hapohapo kwanini atolee macho mshahara wa Jamaa wakati kamsaidia kama Jamaa yake wakaribu. Majama wengine wangese tu wakishakusaidia wanataka watukuzawe.
 
Kila mwezi Vipi punguza utoto.

Thanks unampa mtu mara moja imetoka, sidhani mtu mwenye akili timamu eti akutegemee wewe kisa amekuconnect kazi.

Kitendo cha wewe kumpa Thanks 30,000/= tayari inaonesha wewe ni mtu wa hovyo tu.

Hiyo amount tunapeana hapa JF bila kujuwana.
Ye anataka Kila mwezi Sasa nimkumbuke...Kila tarehe za mshahara anasema "unaona dogo, bila mim ungekuwa nyumban saiv unaokota mapera"
 
Kama anlipwa hio Kam gross still take home yake haizidi 1.7M nakama anamkopo wa loan board ndio anachukua kabisa kwenye 1.5M.

Suala lamsingi aangalie namna atakavyomlinda, nahao wanaodai mshahara wa mwezi mzima anakua sio jamaa yako, inakua nimakubaliano kabisa kabla yamtu hajaingia Job. Sasa kama Jamaa nae anafanya kazi hapohapo kwanini atolee macho mshahara wa Jamaa wakati kamsaidia kama Jamaa yake wakaribu. Majama wengine wangese tu wakishakusaidia wanataka watukuzawe.
Fact man, sijui ata niishi naye vp
 
Ukileta Jambo kwenye public maana yake umeshindwa kulihandle mwenyewe.

Hivi hata kwenye 1.5 kama kweli umepewa pande na umeshamuona Jamaa mduwanzi Kwa nini usimuandalia bahasha yake mtilie mpunga humo then ishi naye Kwa akili tu.
 
Fact man, sijui ata niishi naye vp
Mpe kiasi ambacho unaona kinafaa, mimi huwa siendekezi wapuuzi kama huyo jamaa yako, mwambie ukweli brother nashukuru Kwa kunisaidia lkn kiukweli hili na hili sipendezwi nalo. Lakini kama nimekukwaza kukuambia hili nisamehe brother wangu. Mimi naamini kama IPO IPO tu nakama haipo haipo hata ufanyeje.
 
Back
Top Bottom