Jamaa yangu ananitesa kisa alinitafutia kazi, ni haki?

Yap washkaji wengine feki wanadhani kila ikiwika jogoo ni asubuh
Washikaji wengine feki kwenye dili hawakujui/ Wanadhani kila akiwika Jogoo ni asubuhi/

Kipi sijasikia Prof jay ft Diamond

One of the best from our bongo fleva Godfather

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
 
Mimekuonea huruma mkuu
ila rafiki yako ni wa hovyo.Fanya hivi,Siku mpatie 1M mpe na shukrani ya maneno kutoka moyoni mwako kabisa then kuanzia siku hiyo kaa nae mbali mpaka akiwa na shida kubwa kama ugonjwa au kufiwa nenda kawe nae bega kwa bega then potea tena.
 
Unatetea ujinga.

Hata ungekuwa wewe umtoe rafiki yako tena rafiki wa miaka hiyo apate kazi yenye mshahara mzuri halafu hata kukupa laki 3 ya asante akukunjie utamuonaje??

Sidhani kama jamaa angempa angalau laki 3 au 5 ya asante kama huyo rafiki yake angekuwa na noma.

Shida ni kwamba jamaa kasaidiaa kazi ya mamilioni halafu eti anatoa wekundu watatu si dharau hizo.

Isitoshe jamaa inaonesha hata huko kutoka out jamaa alikuwa anakaza angalau kuzungusha meza .

Sasa huyu ni snitch.
 
Kweli kabisa jamaa amejipata analeta dharau.
 
Hakuna mtu wa hivyo ambaye atataka kila mshahara wako ukitoka umganjie.

Jamaa anyooshe mkono atoe pesa ya kueleweka kama asante .
 
Huyu ngedere snitch tu.

Fuatilia vizuri replies zake utaelewa

Japo hatujasikiliza upande wa pili wa huyo rafiki yake ila inaonesha wazi mleta mada hana shukurani pia ameanza kumpiga majungu mwenzake.

Zingatia sana huu msemo "Popote pale kwenye ubaya ujue kuna Wema ulitangulia".
 
Kwa jinsi nilivyosoma replies zake nimegundua tatizo lipo kwake na sio kwa huyo mshikaji wake.

Huyu mleta mada ndio dizaini ya wale watu unaowasaidia wakifanikiwa wanakupiga majungu na kutaka kushindana na wewe uliyewasaidia na kukushusha kabisa .
Hao watu wako wengi sana. Sasa kama mshkaji wake ana shida anataka akamwombe nani? Halafu mtu unapoombwa msaada mshukuru sana Mungu kwa sababu uko upande salama. Ule upande wa kuomba msaada ni mchungu mno
 
Ningepata mtu kama huyo hakika angechoka.. shukrani zingekuwa kila dakika anazipata anavyosema hivyo, na yeye mwenyewe ataona sasa imekiwa too much ngoja nitulie

Kufanya kazi n mzungu raha sana. Bosi wangu kanipa kazi lakini sikuwahi msiki hata siku moja kanitangaza kwa marafiki wenzake, kingine tukikutana maeneo ya burudani pale kila mtu na pochi yake hakuna wakumwomba mwenzake maana kila mtu anafanya kazi, labd tuu otoke akuambia aise nmeishia hapa naomba backup alafu nikifika nyumbani nailipa hiyo
 
Hata wabongo wenzetu wengi tu huwa wanatusaidia na huwezi ukasikia maneno maneno. Tatizo kuna watu wako vizuri kiuchumi ila bado wana vijitabia vya kimaskini. Kuna mtu alikuwa anamlaumu sana ndugu yake kuwa kamtupa wakati yeye ndo alimsomesha.. siku moja nikataka kujua alimsomesha chuo gani nikashangaa kumbe ni u-secretary kwenye hivi vyuo vidogo vya mtaani. Na hata kutoboa ilitokana na huyo ndugu kuolewa na tajiri. Na sio cheti chake cha usekretari.
 
Hao watu wako wengi sana. Sasa kama mshkaji wake ana shida anataka akamwombe nani? Halafu mtu unapoombwa msaada mshukuru sana Mungu kwa sababu uko upande salama. Ule upande wa kuomba msaada ni mchungu mno
Jamaa sio kama anashida .

Kwa haraka haraka jamaa anahitaji ile appreciation tu na asante basi.

Jamaa anaonekana mkunjaji sana na mpendwa sifa kwa wanawake kuliko mshikaji aliyemuokoa.

Hakuna namna atapike jiwe Tano ampe mshikaji na ikiwezekana amtoe out hata mara tatu tena outing za kueleweka.


Baada ya hapo jamaa wataenda sawa sana.
 

Namuhitaji huyo boss sina kaz kwakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…