Jamaa yangu ananitesa kisa alinitafutia kazi, ni haki?

kama ni private company unatimuliwa vizuri tu, wanakuambia una under peform, kisha wanakuondoa.
Hujui taratibu zakumfukuza kazi mtu wewe huko private, wakikuambia una underperform haitakiwa ufukuzwe kazi, inatakiwa upewe training, Kisha baada ya training unajaza training report kuonyesha umefundishwa Kisha umeelewa na unasign, Kisha baada yahapo unapewa target zakufikiwa Kila mwezi, Kisha unapimwa Kwa miezi isiyopungua sita. Kisha baada yahapo kama upo underpormance unapewa evaluation letter Kwa robo, na nusu ya mwaka kuonyesha uboreshe wapi kwenye mapungufu. Then wanakufanyia assessment Tena Kwa miezi mingine sita.

Bila kufanya kosa la kinidhamu ningumu kufukuzwa kazi, labda usitishiwe mkataba baada ya mkataba wako wa awali kuwa umeiisha. Lakini pia dalili huanza kuziona mapema.

Mwajiri akikufukiza kazi kiholela anaweza kukulipa pesa zote ulizostahili kulipwa ndani ya mkataba wako, kama muajiriwa unajua haki na wajibu wako.

Pia hakuna muajiri ambae anataka kufukuza watu kazi nakuajiri wapya Kila mara.
 
Mkabidhi kadi ya benki mke wako, huyo jamaa kila akikuomba pesa unamuambia akachukue kwa wife wako.
 
Dah tupo nae kazn Sasa apa
Kumbe mshenzi
Yaani na ye mnafanya nae kazi?
Ila huyo sio mshikaji na usipokua makini hutaendelea ana wivu
Hawezi kubali ufanye maendeleo!

Ushauri wa bure, km sio mtu wa ibada/ maombi Anza ss laa sivyo utakuja kulia vby!
Na usimshirikishe chochote jifanye mjinga ,lkn badiri mfumo wa maisha Yako kabisa,acha kutoka nae huwezi kosa kisingizio
Mwambie uko kwenye mfungo
 
Nimefanya kazi private company naelewa ninachokisema, hizo taratibu unazozisemea hakuna anaezifuata, kosa dogo wanakufukuza,
 
Sheikh Kipozeo kuna pahaala alisema "unamuona baba Abeid,mimi ndo nimemwezesha leo kupata chakula cha usiku"
Watu wa hivi ni wabaya kuliko ubaya wenyewe.
Kuna siku unaweza kuwa na familia yako akakwambia, huu msosi bila mimi kumpa connection baba enu musingekula huyu mbuzi.
 
Asee binadamu wachoyo sana....hivi ukiamua kumpa hata hela ya mtaji 5million...afu umwambie tumemalizana...hatakushukuru?...unapewa dili kubwa, unataka ule peke ako..kweli?...mpumbavu ww...vijana hatuinuani
Amekwambia anafanya nae kazi hapo
Huoni km huyo jamaa ana shida?
 
Amsitiri Kila mwezi ,na anfanya nae kazi?😳
Aisee this is not fair
 
Elf hamsini haitoshi ampe laki tatu 300k au 500k

Jamaa atatulia
fanya hayo vinginevyo jamaaa atakufanyia hila utolewe kazini

Mm yamenikutaaa hayo
Ila inategemea na kazi gani,kama ya kuchomekana mtihani ila kama ya ajira ya uhakika abadirishe mfumo wa maisha.

1;Aanze kwenda kuswali,yaan akifanya hivi mwezi tu jamaa atamkimbia.

2;Ajitupe kwenye usafi,yaani kama weekend unatoa vitu vyote nje kama unahama

3;Atafute dem,kila weekend awepo nyumbani.

KAMA ATAWEZA HAYA MWEZI MMOJA TU ATAJIKATAA MWENYEWE.
 
Mbaya zaid wanafanya kazi sehemu moja, ningekuwa mm yaani ningeanza kutembea na bible kila niengapo, jamaa angejitenga na mm bila kupenda, maana kama tunakuwa kwenye usafir labda kanipa lift mm ni mapambio kwa kwenda mbele.
Ye anakwambia ni atheist
Ss asubiri aone anafikiri mjini humu watu wote ni atheist,atajua hajui!
 
Nimefanya kazi private company naelewa ninachokisema, hizo taratibu unazozisemea hakuna anaezifuata, kosa dogo wanakufukuza,
Nipo private sector pia nazungumza namna utaratibu inavyotakiwa kuwa, kama wasipoufuata ndio hapo Sasa ujue haki zako na wajibu wako, hakuna wakukupeleka kizembe. Lakini kama huwezi kubeba majukumu yako utaogopa watu nakuwanyenyekea sehem ambapo wao ilitakiwa ndio wakunyenyekee.
 
🤣🤣, Mungu hadhihakiwi...
Kwanza kashasema ye ni Atheist,so muache tu ,maana hakuna kuokoka kimchongo atapata matatizo zaidi!
 
Kwa mshahara wa TZS 2,500,000, ulikuwa sawa kumpa 30k?
Mi nilivyoelewa anampa Kila wakati sio mara Moja, na wakitoka out ,plus ku clear bill etc
😅
Na Kila mwisho wa mwezi jamaa anamlilia shida!
Na hapo wanafanta kazi wote ,manaake wote Wana huo mshahara ....
 
Ampe kila anapotaka, km hataki aache kazi ili awe huru.
Mbona simple tyuuh
bi shost hyo sio ndoa kuwa unatakiwa usilale na pichu, hyo hapana bwana, hata ndoa kwani we kila ukiambiwa panua unapanua tuu, si kuna siku unasemaga umechoka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…