Jamaa yangu Kwa wazazi wake ni pachafu Sana. Mama yake anaishi Kama mnyama

Rafiki niliosoma nao shule za awali tu ndio walipajua nyumbani tena kwakua shule zilikua karibu since then urafiki mwisho darasani, kazini, kuna baadhi sio kabisa!!!!
but huyo kakosea huez kuishi vizur ukamuacha mama anateseka,,,hua naumia sana nikimuona bibi anaokota makopo au anauza samaki na ukute watoto wapo kuna mmoja alisema watoto hawa mjali ila wanasubir kodi tu wanachukua yote,,nayeye hawez kuondoka kwenda kijijini watauza nyumba yake inasikitisha sana!!!
 
Hii pia inachangiwa na malezi ya watoto,Nakumbuka nikiwa Mdogo Bibi yangu alikuwa anasisitiza Kujitoa kusaidia watu na ndugu, ndio maisha nayaishi!
Yes IPO Nyumba nzuri kuzidi hata ambayo nakaa Mimi .
Safi kabisa,Mungu atakuzidishia,
 
K Kama rafiki yako kàlaaniwa nawe pia una laana. Huwezi kuwa na rafiki àna laana wewe ukawa huna laana.
Ungekuwa huna laana ungerekebisha hiyo hali na uondoe hiyo laana mliyonayo nà si kuja kutangaza hali ya huyo mlaaniwa mwenzako.
 
Maendeleo kweli yana kazi, si kila mtu anaweza kutoka kijijini hadi mjini na akaweza kuficha siri za rafikiye huko mjini.


Labda ungewaonyesha maendeleo yako kwa vitendo, Kwakuwa wewe pesa ipo, badala ya kuhesabu makuti na visima vyao.


Utoe msaada kwa rafiki yako.
 
We jamaa utakuwa umekulia maisha Bora, sisi mambo ni kwa hatua. Ukitoboa jijenge kwanza kabla ya kuwajengea wazazi au ndugu, mzazi kama anapokaa ni pabovu au ni hatarishi mchukue akae kwa mtoto
HAPANA!, tatizo sio kuwajengea, anaweza kua bado hajawez kuwajengea, but kuwaacha wapikie kuni kweli? wabebe ndoo kwenda kisimani na ni wazee? kuwaacha waishi mazingira machafu? like serious!?

yeye awasaidie tu awanunulie majiko ya mkaa , hela kidogo ya gunia la mkaa kila mwezi , najua haiwezi zidi 30k-40 huko, awarekebishie choo na bafu awaondolee makuti, awanunulie tank au mapipa hata mawili tu makubwa ya maji,pia awatafutie kijana wa karibu ampange ambae atakua anampa buku buku tu awe anawachotea maji anajaza kwenye mapipa, ambapo akichota leo anarudi tena baada ya siku nne kuwaongezea mala moja then basi inatosha, aache upuuzi
 
Umeandika kwa ujumla sana,maisha mazuri yapi,isije kuwa jamaa kapanga nyumba nzima kimara,furniture za kisasa na kagari ka mkopo ukaita maisha mazuri.
 
Ndiyo maana hata nikipata msiba sitaki kusindikizwa na wafanyakazi nyumbani. Naenda kimya kimya tu.

Nyie marafiki wa kazini mwapenda kutangaza mambo ya watu. Mnakuja kama marafiki kumbe ni wapumbavu tu🖕🏿🖕🏿
Wengine wanapiga picha kabisa na kuchukua video. Ni kweli wafanyakazi wenzako au hata majirani zako kwenye mkoa mwingine, usiwapeleke nyumbani kwenu.
 
K
Kama rafiki yako kàlaaniwa nawe pia una laana. Huwezi kuwa na rafiki àna laana wewe ukawa huna laana.
Ungekuwa huna laana ungerekebisha hiyo hali na uondoe hiyo laana mliyonayo nà si kuja kutangaza hali ya huyo mlaaniwa mwenzako.
Mtoa mada ni mnafiki (rafiki wa mashaka).
Anasema jamaa ni rafiki yake ila kashindwa kumuweka wazi kaja kumnanga huku kwenye anonimity.
Sasa hivi kaamua kumpa laana kabisa huyo anaejinasibu ni rafiki yake.
 
Vijiji vyote vina umeme
 
Ukute sio pachafu bali ni ukijijini tu.
Ukute maza kila akipewa hela aboreshe maisha anatumia kuhonga vijana wa hovyo..
Ukute huyo jamaa ako akikuhadithia vitu kafanyiwa na huyo mamake utashangaa kwanini hata anaenda kumtembelea.
Ukute jamaa ako kalelewa kwa upendo na shida na mamake ila baada ya kujipata kamsahau mamake..
Sisi htuwezi kujua ila kama vimekuhuzunisha nakama ni mtu wako wa karibu ongea nae anaweza akafunguka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…