Jamaa yangu Kwa wazazi wake ni pachafu Sana. Mama yake anaishi Kama mnyama

Hawa watu wa namna hii sio wa kuambatana nao popote, achana na kuwakaribisha nyumbani.

Ni kasumba mbaya sana.
 
Kuishi mjini kidogo tu ushaanza kutuona tunaotumia jiko la kuni au maji ya visima vya chemchemi ni wachafu na tunaishi mazingira machafu?

Kuna baadhi ya jamii mzazi hawezi kukubali kwenda kuishi kwa mtoto wake labda watoto muhamie hapo kwake.

Kwahiyo cha muhimu jua kutofautisha maisha na mazingira ya mjini na vijijini, miundombinu ya huko mjini haifanani na huku vijijini.

Na pia ungehoji kwa utulivu kwanini mazingira umeyakuta hivyo labda ungepata maelezo juu ya maamuzi yao, hiyo familia ya rafiki yako.
 
Wewe si rafiki kwake.
 
Mimi nilidhani utamwambia na ikiwezekana umpige tafu kiaina ili walau choo kijengwe mwisho wa siku umekuja kumtangaza mwana sio powa ndugu kama kweli unampenda mshikaji ungemwambia ukweli sio kuja kumfanyia unafiki huku
 
Sawa umetuambia sisi lakini na yeye umemchana kama hivi unavyotuambia? Kama haujafanya hivyo bhasi huu ni unafki na umbea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…