Jamani askari tuliostaafu tunaomba Rais Magufuli utukumbuke pensheni bado, hali ni ngumu mtaani huku

Mkuu baada ya oktoba 28 salio litasoma . kazi iendelee
 
Niwe mkakamavu kwenye haki yangu kwani mi mtumwa au naendeshwa kama gari bovu
Mlibangua korosho kwa meno wakulima wakavumilia,zamu yenu kuvumilia!
Iwe fundisho kwa walioko kazini.
 
Maaskari mnatuoneaga sana sisi raia. Naomba Mungu yaani hiyo pensheni msipewe kabisa. Mnatuonea mno.

Yaani hata pensheni ya siro naomba serikali muile yote. Yaani pensheni zao mkatengenzee mabango ya kampeni na vitenge vya kampeni. Hizo pensheni za maaskari mnaweza kuzitumia kuweka mafuta ya magari ya kampeni. Majina yao yapotee kwenye system kabisa, maonevu ya maaskari ni makubwa mno.
 

Kosa kubwa Sana Ni kuisapoti ccm huku ikikutumieni Kama mpira wa guest.
 
Nyie mlikuwa wauwaji mtakula jeuli yenu
 
Mkuu Mbona Unaliongea Kihisia Sana...

Wewe Hujawaona baadhi ya WANASIASA na Viongozi Wa Mashirika ya UMMA Wakiishi Maisha Bora Na Ya Anasa Baada ya Kuwadhulumu Wanyonge?!!

Kuna Uhusiano Gani Wa Maisha Mabovu Na Dhulma Iliyofanywa na Mfanya Dhulma?!!

Samahani Mkuu wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…