Kapwil
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 2,625
- 3,735
Nenda chato kamwambie magu hizo habariswala ni pensheni tulipwe, kwan michango yetu iko wapi? basi tupewe nauli ambayo ni haki yetu basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda chato kamwambie magu hizo habariswala ni pensheni tulipwe, kwan michango yetu iko wapi? basi tupewe nauli ambayo ni haki yetu basi
Ndiyo kundi ambalo miaka yote hutumika kuhujumu chaguzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Walah hizi comments daaah!!
Ukiacha walimu, maaskari nao hawako mbali kusimangwa nchi hii.
Tatizo wanashiriki kufanya uhuni dhidi ya jamii wakidhani kuwa hawatazeekaPole Sana serikali inabidi iwape haki yenu, I wonder pia wengine wanaotoa kejeli kwenye swala sensitive hivi
Ni kweli na hyo yote inasababishwa na mifumo yetu mibovu ya kuheshimu Sheria na hakiTatizo wanashiriki kufanya uhuni dhidi ya jamii wakidhani kuwa hawatazeeka
Sasa anakuja kutulilia sa hv cc tumsaidie nn??? Apambane na hali yakeSasa hivi wameshajazwa Pemba na Unguja ili wawaumize ndugu zao. Wengine wamevalishwa nguo za kiraia wapige kura mara mbili mblli
Wakati mwingine mifumo tunaisingizia tu.Ni kweli na hyo yote inasababishwa na mifumo yetu mibovu ya kuheshimu Sheria na haki
Hakuna cha nauli wala cha pension. Huyu ndiyo mekoswala ni pensheni tulipwe, kwan michango yetu iko wapi? basi tupewe nauli ambayo ni haki yetu basi
Kwani vitendea kazi hawajawaaachia Bindukiswala ni pensheni tulipwe, kwan michango yetu iko wapi? basi tupewe nauli ambayo ni haki yetu basi
Mlibangua korosho kwa meno wakulima wakavumilia,zamu yenu kuvumilia!Niwe mkakamavu kwenye haki yangu kwani mi mtumwa au naendeshwa kama gari bovu
swala ni pensheni tulipwe, kwan michango yetu iko wapi? basi tupewe nauli ambayo ni haki yetu basi
Inabidi nitumie codes atakaelewa poa. Ni wakuitwa "Chamgonjwa"Yupi huyo mkuu
[emoji23]Nauli ya nini wewe wakati ukivaa migwanda yako hudaiwi nauli?
Maisha tunayo yaishi mtaani ni magumu sana, tuna muda tumestaafu NAULI ZETU za kurudi majumbani hatujapewa, Pensheni hatujalipwa, basi tupeni pensheni ya kila mwezi jamani tuna aibika na familia zetu huku mtaani hapafai, hatuna biashara, basi tupeni nauli turudi majumbani kwetu tuhangaike na Kilimo huko.
Kweli mtu ukae mwaka na zaidi mshahara ulikata siku nyingi tu baada ya kumaliza likizo ya pensheni, pensheni hutujapewa na nauli hatuja pewa tunaishije mfano.
Tuonee huruma jamani. kama mambo ya uchaguzi ndio pesa imetumika sana huko sisi hatuhusiki huko mtuonee huruma.
Nyie mlikuwa wauwaji mtakula jeuli yenuMaisha tunayo yaishi mtaani ni magumu sana, tuna muda tumestaafu NAULI ZETU za kurudi majumbani hatujapewa, Pensheni hatujalipwa, basi tupeni pensheni ya kila mwezi jamani tuna aibika na familia zetu huku mtaani hapafai, hatuna biashara, basi tupeni nauli turudi majumbani kwetu tuhangaike na Kilimo huko.
Kweli mtu ukae mwaka na zaidi mshahara ulikata siku nyingi tu baada ya kumaliza likizo ya pensheni, pensheni hutujapewa na nauli hatuja pewa tunaishije mfano.
Tuonee huruma jamani. kama mambo ya uchaguzi ndio pesa imetumika sana huko sisi hatuhusiki huko mtuonee huruma.
swala ni pensheni tulipwe, kwan michango yetu iko wapi? basi tupewe nauli ambayo ni haki yetu basi
Sitaki idhulumu nafsi angu kukuonea huruma,ikibid ufe.
Wasalaaam
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
[/QUOTE
Duuuh,....