Jamani askari tuliostaafu tunaomba Rais Magufuli utukumbuke pensheni bado, hali ni ngumu mtaani huku

swala ni pensheni tulipwe, kwan michango yetu iko wapi? basi tupewe nauli ambayo ni haki yetu basi
Pensheni subiri kidogo, kuwa mvumilivu kama soja, 2025 siyo mbali. Bado tunamalizia SGR, flyover, Stigila, na midege 5 kwa cash na sasa hivi tunaajiri walimù elfu 13. Kwani ipi siyo haki? Nauli ya kwenda wapi, tuliza matako nyumbani.
 
Mkiwa kazini wanasiasa wapumbavu huwatumia sana kufanikisha malengo yao
Pindi utumishi ukikoma mnaonekana takataka tuuu subirini sasa
Tena mnatumiwa wa mabeberu
 

Acheni kuunga juhudi kihasara. Jamaa huyo hana uungwana. Taifa zima linalia hali ngumu ya maisha. Haya, waambie wenzako huko kambini. Muwe na JAMBO LENU tarehe 28/10/2020.
 
Mpaka hapa POLICCM brightg umeona kwamba POLICCM hampendwi na hamheshimiki kutokana na tabia zenu mbaya dhidi ya raia wasio na hatia. Endelea kuvumilia maumivu huku ukiendelea kukongoroka.
Waambie wenzio uliowaacha kwamba Kuna Maisha baada ya upoliccm.
 
Mlijisahau sana mkatumika vibaya kuonea watu,ni hiyo dhambi inawatafuna,na wenzenu wajifunze kwamba baada ya kutumika mwisho wa siku kumbuka kwamba utamaliza utumishi utarudi mtaani kuwa raia wa kawaida so kama kuna uliowaonea bure utakutana nao huko ukiwa hauna bunduki tena
 
Wewe ni askari wa jeshi gani? Kwa muda mrefu sana mumekua mkitumika KUZUIA MABADIRIKO ambayo kimsingi yangewanufaisha na ninyi pia, sasa we kula jeuri yako tu.
 
Kuna lipoliccm lingine huku kitaani limestaafu halina nyumba. Kila linapoomba kupanga jibu huwa "nyokooo, kafie mbele shwetani weye". Sasa lipo kwenye kibanda cha kuhamia ndege mpunga kama fala fulani hohehahe. Bila shaka hata chupi hana. Enzi zake akiwa policcm alikuwa mbabe sana. Alijisahau kuwa kila alichokuwa akivaa isipokuwa chupi tu zilikuwa ni kodi zetu.
 
Kupitia majibu mbalimbali humu ya wana jf, police najua mpo wengi humu naamini funzo mtakuwa mmelipata,huwa mnajisahau sana mnapokuwa kazini bila kujua baada ya kustaafu mnaishi uraiani kama wengine,acheni kutumika na viongozi wakati maisha yenu hohehahe,acheni uonevu,matokeo yake mkishakuwa wastaafu hamna anayewajali mnaishi kwa stress tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…