Jamani, ifike hatua wanawake muanze kutuhudumia sisi wanaume!

Natakiwa nishauriwe na mwanamke mpambanaji anaechangia kipato kwenye familia ila sio yule ambae yupo tu nyumbani afu ananiletea ujuaji wa kunielekeza hivi mara vile wakati yupo amekaa,pambana na wewe uone moto unavyowaka
Sasa akienda kupambana wew utakaa na watoto
 
Hehee 😂
Yani atakaehudumiwa na Mimi namuhurumia nitakavyomfanya.... Kwanza hatakiwi kuwasiliana na mtu mwingine yoyote isipokuwa kwa ruhusa yangu,,, anipe kila nitakapohitaji,,,, nikitoka kazini anipokee kwa magoti sio wima wima tu, anatakiwa kunisifia navyojua kumtunza kila wakati😂😂😂😂😂😂
 
Ni aibu mwanaume kutunzwa na mkewe.Kasome yoshua bin sira.Kama nitakuwa nimekosea mnirekebishe.
 
Tuwape kila mnapotaka,, 😂😂😂mmeumbwa na fahari hamuwezi kunyenyekea,,
Tena huyu mimi kabisa hapo mwanzoni..napenda nipewe kila siku walau mara 1 kama dozi ya mbaazi.
Niliwahi kutaka kumimina uji wa thamani wakati nipo hoi naumwa maumivu makali. Mtoto watu alipigwa na butwaa. Halafu sijui kwanini maumivu yalisimama kwa muda. Hata maumivu yanajua thamani ya ule mchezo takatifu.
 
Sasa kutoa kila mnapotaka unadhani ni rahisi,, ndo namwambia mtoa mada ajiandae kufanywa km mnavyotufanya😂😂
 
Wanawake bhana ni watu wa ajabu sana,mfano kama mke wangu ananitegemea mimi na hafanyi chochote zaidi ya kulea mtoto lakin unakuta ananishauri namna ya kupambana ili nitoboe wakati yeye yupo tu hana mishe
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Wanaume mliambiwa mtakula kwa jasho, na wanawake watazaa kwa uchungu, kwann tujitese ebooo[emoji848]
 
Tatizo ujasema mwanmke wanch gan?? Kama mwamke wa tz awez labda umzae mwenyew uyo mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…