Jamani, ifike hatua wanawake muanze kutuhudumia sisi wanaume!

We siunataka bill iwe kubwa πŸ€”πŸ€” Feel free to make it so.

Kapika nani hilo pilau?? πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Nitanunua kwa sele bomba mitaa ya msasani! Tena na kachumberi anaiweka mayonnaise!
 
We jamaa ni mwanaume kweli??

Unawaza kuhudumiwa na mwanamke.

Halafu kwanini mtoke out wakati unajua mfukoni apeche alolo.
 
Wanawake bhana ni watu wa ajabu sana,mfano kama mke wangu ananitegemea mimi na hafanyi chochote zaidi ya kulea mtoto lakin unakuta ananishauri namna ya kupambana ili nitoboe wakati yeye yupo tu hana mishe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahyo wew umeamua kucheza vikoba ushindwe hata kumtoa out umpendaye?
Kumtoa out ya mara moja sio kesi mbona. Ila Sasa sio kumhudumia mwanaume hapana kwakweli mwanaume yeye ndo mwenye jukumu la kumhudumia mke na nyumba
 
Picha linaanzia kwa muhudumu, anakuja direct kwako πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii jinsia haiekeweki inataka Mwanamke wa aina gani?
Kuna mada humu zaidi ya moja wakishauriana wanawake wa pambanaji si wakuoa kwani hawajui majukumu yao na wamejawa jeuli[emoji2372]
Halafu wanataka kuhudumiwa, sasa kama hawataki wake zao wafanye kazi hizo pesa za kuwahudumia zinatoka wapi? Kazi ipo.
 
[emoji28][emoji28] hizi zama zinapoelekea ni kubaya... Mwache akusaidie mwenyewe na akikupenda mno, atakusaidia bila kuambiwa. Lakiniiii ni haki kweli mtoto wa kiume kuwaza kuhudumiwa? [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…