Jamani kosa langu lipi hapa

Vijana wengi ukiwachukulia kifamilia hawakawii kukuudhi.
Mumeo alitakiwa kuwa ameliona hilo kwanza kabla yako wewe na kutafuta njia ya kulimaliza kistaarabu.

Wala huna haja ya kuchunguza msingi wa urafiki wake na mumeo, ulichofanya ni sahihi.
 
Huna kosa
 
Huyo mwambie aende akale kwa mama ntilie
 
Unamwitaje mume wako "jamaa"

How comes?

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Hivi Kuna wanaume wanaonuna! Mwambie mumeo aache ufala huo.

Na wewe marafiki wa mumeo uwe unamwambia mumueo adili nao.
 
Uko sahihi nadhani hao watu wapo negative tu akili zao huwa zipo tayari kusikia habari za kuwa sifia tu wakati wote
 
Duhh!!! Huyo jamaa yako Ni mtu wa wapi !? Na ana umri gani !? Pia uwezo wake wa kufikiri ukoje !?
 
Wewe ulitakiwa umueleweshe mumeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…