DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Unataka kumaanisha nn Apo,Huyo kaka anampa nin Mumeo ambacho Humpi????
ebu nyoosha maelezo vzur wee mzee wa kimasihara [emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kumaanisha nn Apo,Huyo kaka anampa nin Mumeo ambacho Humpi????
Sasa why akomalie kuwahi kujaa kabla ya hawa ndugu wengine kuwepo ashaona hapa nakulaa yaniii...Unataka kumaanisha nn Apo,
ebu nyoosha maelezo vzur wee mzee wa kimasihara [emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Anakula na kula tena au anakula na kuli...[emoji23]Sasa why akomalie kuwahi kujaa kabla ya hawa ndugu wengine kuwepo ashaona hapa nakulaa yaniii...
Atakulaaaaa alafu wakija wenyeji anakula anaenda kulalaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Anakula na kula tena au anakula na kuli...[emoji23]
Sijui kosa langu lipi hapa iko hivi,
Kuna kijana hua anafanya kazi na me wangu sasa hua anatabia yakuja kila siku jion kula nyumban
Yeye kapanga nadhan mvivu kupika tumeshamzoea ni kama mwaka sasa na hatoi hata mia
Sasa mume wangu huaa anatoka saa 3 kazini, mimi hua natoka saa 2 usiku dukan
Kama wiki hivi, nimemleta mtoto wa dada angu anisaidie majukum ana 17yrs
Sasa huyu kijana alivyoona kuna mtu nyumban akawa anakuja nyumban saa 12 anakaa mpaka tunamkuta usiku,
Mimi nilichofanya nimemwambia asiwe anakuja kukiwa nawatoto peke yao maana yupo bint huyu na mtoto wangu wa 7yrs, awe anasubir mimi nirudi au awasiliane na rafiki yake waje nae sababu hapa kuna mtoto wakike dunia haieleweki hii
Kachukia kanishataki kwa jamaa, mume wangu kanuna et ninaroho mbaya sitaki huyu kaka aje kula
Wakati mimi nimemwambia awasiliane na rafiki yake ambae ni mme wangu waje pamoja maana wanafanya kazi pamoja et nimekosea?
Anawahi kula, halafu wakija wenyeji anakula nao[emoji23]Atakulaaaaa alafu wakija wenyeji anakula anaenda kulalaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Huyo jamaa atakula kimasihara siku sio nyingiHuyo kaka anampa nin Mumeo ambacho Humpi????
Unamwitaje mume wako "jamaa"Kiukweli angekataa sababu jamaa akisafir hua anakuja kunisubir dukan twende wote nyumban nikapike ale then aondoke, nikamwambia jamaa amwambie kua sio tabia nzuri mimi sio mke wake ni bora awe anakuja jamaa akiwepo ...alikuja juu safar hii nikajilipua
Hivi Kuna wanaume wanaonuna! Mwambie mumeo aache ufala huo.Sijui kosa langu lipi hapa iko hivi,
Kuna kijana hua anafanya kazi na me wangu sasa hua anatabia yakuja kila siku jion kula nyumban
Yeye kapanga nadhan mvivu kupika tumeshamzoea ni kama mwaka sasa na hatoi hata mia
Sasa mume wangu huaa anatoka saa 3 kazini, mimi hua natoka saa 2 usiku dukan
Kama wiki hivi, nimemleta mtoto wa dada angu anisaidie majukum ana 17yrs
Sasa huyu kijana alivyoona kuna mtu nyumban akawa anakuja nyumban saa 12 anakaa mpaka tunamkuta usiku,
Mimi nilichofanya nimemwambia asiwe anakuja kukiwa nawatoto peke yao maana yupo bint huyu na mtoto wangu wa 7yrs, awe anasubir mimi nirudi au awasiliane na rafiki yake waje nae sababu hapa kuna mtoto wakike dunia haieleweki hii
Kachukia kanishataki kwa jamaa, mume wangu kanuna et ninaroho mbaya sitaki huyu kaka aje kula
Wakati mimi nimemwambia awasiliane na rafiki yake ambae ni mme wangu waje pamoja maana wanafanya kazi pamoja et nimekosea?
Duhh!!! Huyo jamaa yako Ni mtu wa wapi !? Na ana umri gani !? Pia uwezo wake wa kufikiri ukoje !?Kiukweli angekataa sababu jamaa akisafir hua anakuja kunisubir dukan twende wote nyumban nikapike ale then aondoke, nikamwambia jamaa amwambie kua sio tabia nzuri mimi sio mke wake ni bora awe anakuja jamaa akiwepo ...alikuja juu safar hii nikajilipua
[emoji16][emoji16][emoji16] Kazi unayoMzee wangu anadai yeye kwao amekua na watu baki tu kwahiyo ni sahihi kwa huyu kijana
Khaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] why Mzenamkwepu jr ifike MDA na wewe utoe ushaur Kwa wenzio humu,
sio kila mda una-Like na kukimbia speed speed Kama vile AMBULANCE ya MZENA [emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ulitakiwa umueleweshe mumeoSijui kosa langu lipi hapa iko hivi,